Je ni kweli wanamuziki kizazi kipya huko South waliji Load Mzigo?

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,832
2,790
Nikisoma gazeti huku mitaani nyuma yangu nahisi mtu akipumua kwa kuhema nageuka namuona ni askari polisi anasema sorry nadhani aligundua kuwa alihema sana akanishitua. Kisha kwa kuwa sote tulikuwa tunasoma topiki moja anasema "Hawa vijana watakwisha kwani hata huyu alijiload mzigo ukapasukia tumboni, na alitumwa na mtoto wa kigogo mkubwa sana" Niliishia kushangaa nikatoweka eneo hilo.

Swali: Hivi ni kweli marehemu huyu alikuwa amejiload mzigo kweli???
 
Dada white hii Avatar yako umeikopi ualady ya yule mdada wa mwanza mwenye mitusi kibao ama ndo wewe. Zipo na picha zake mbili moja kavaa nguo nyeusi za mazoezi na nyingine kachuchumaa kwenye dimbwivla maji machafu. Nipm nikutumie aisee.
 
mtoto wa kigogo gan?au yule tuliemuona mitandaoni akiwa SA anachagua jeneza la Ngweair?lisemwalo lipo.
 
Riport ya dkt haijatokaa?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
"Hawa vijana watakwisha kwani hata huyu alijiload mzigo ukapasukia tumboni, na alitumwa na mtoto wa kigogo mkubwa sana" Swali: Hivi ni kweli marehemu huyu alikuwa amejiload mzigo kweli???

Huyo askari ni mdaku kama hilo gazeti ulilokuwa unasoma

no way uji-load usiku mapema,safari iwe kesho yake adhuhuri
 
dah,inawezekana,maana kilichomuua ngwair mpaka sasa hakifahamiki,ingawa riporti ya Dr ipo,jiulize kwa nini haiwekwi hadharani?
 
Baada ya kunusurika kule kwa akina chung chang
wameamua kuwatumia akina ngwea, looh,
pesa kweli hazitoshi kila siku hazitoshi.
 
Kwa kweli kinachoendelea ughaibuni ni hatari hawa maprince watatumalizia vijana wetu...kwa nini kijana mdogo asifanye biashara halali anawamaliza watoto wa maskini kwa sababu rafk yake ngwea naye yupo mahututi pia kutokana na the same event..R.I.P NGWEA
 
Dada white hii Avatar yako umeikopi ualady ya yule mdada wa mwanza mwenye mitusi kibao ama ndo wewe. Zipo na picha zake mbili moja kavaa nguo nyeusi za mazoezi na nyingine kachuchumaa kwenye dimbwivla maji machafu. Nipm nikutumie aisee.

Hiyo gear yako imenikumbusha mbali!
 
Kwa kweli
kinachoendelea ughaibuni ni hatari hawa maprince watatumalizia vijana
wetu...kwa nini kijana mdogo asifanye biashara halali anawamaliza watoto
wa maskini kwa sababu rafk yake ngwea naye yupo mahututi pia kutokana
na the same event..R.I.P NGWEA

M to the P kashaget well na tulikuwa naye kwa mazishi.
Sema jamaa kaeleza....................!
By the way,wote tutakufa,tajiri,maskini,mwenye haki,asiye na haki,na kila aina yoyote ya watu.WOTE SAFARI YETU NI 1
 
ni kweli mkuu...kuna video inasambaa kwenye whatsapp inaonesha alivyokua anafanyiwa postmoterm pamoja nakutolewa hizo kete....alikua amezingukwa na watanzania baadhi yao wakiwa wanarekodi tukio hilo na wanasikika wakizungumza kwa kiswahili
 
Ile video sio ya kweli madr wote pale walikuwa wanazungumza kiswahili na ile pic niyasiku nyingi sana.Then ukichek vizur ile video utagundua maiti aliwekewa madawa ndo maana wanayatoa sehemu mbalmbal mtu aliyebeba madawa huwa yanakuwa sehemu moja tu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Je wadau biashara siku hizi imebadilika coz hapo zamani poda ilikuwa inatoka Tz kwenda Sauz.je siku hizi ni kutoka sauz kuja Tz? au vyovyote tu.
 
dah,inawezekana,maana kilichomuua ngwair mpaka sasa hakifahamiki,ingawa riporti ya Dr ipo,jiulize kwa nini haiwekwi hadharani?

Kwani ripoti ya Daktari ya kifo cha nani iliwekwa hadharani, ipo kwa ajili ya mambo ya kisheria na familia zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom