Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,288
- 40,913
Mkuu nikopeshe mia nne tu
Hahahaa ana stress kumbee,..
Tatizo ww bwege huelewii...unalazimisha niwaze kama ww??alaaah acha ufala asbh asbh...mfyuuuuuuu
nonsense!!!
Kwa Mara nyingine tena nakukuquote, nakujua kwamba ni mtetezi mzuri wa maovu ya serikali yanu but Mara zote umekua ukitumia argumentative or persuasive language na sio mitusi mikubwa mikubwa namna hii.Una viungo vyote vya mwili wako halafu unakuja jamiiforums kulalamika huna kazi!
Jiunge hata na kikundi cha panya road utumie nguvu kama ubongo wako haufanyi kazi sawasawa.
Unaweza pia ukaingia kwenye biashara ya ushoga. Kumbuka kwa sasa mashoga nchini wanalindwa na jumuiya za kimataifa.
Kama vipi, kasome kitabu cha Mzee Mtei kinaitwa From Goatherd to Governor kina elimu ya kutosha kuhusu mafanikio
Itakuwa anawashwa-washwamfyuu kweli kweli... jinga sana hilo li mtu.malafu lina dalili ya kupenda jinsia yangu ht huwa simwelew..
Kijana wa lumumba huyu...ana keshaga kuimba tenzi za ccm had unamuonea huruma
Siku hizi mtaani huku biashara ya tigopesa ni hatari kuliko vita, laki tatu tu majambazi wamevamia na bunduki na kumuua wakala hii ni hatariNdugu zangu,Fitina kwangu mwiko na nitasema kweli daima;
Nimepita pita kwenye maofisi na maidara mbalimbali na kote nasikia vilio na malalamiko Je ni kweli vyuma vimekaza kiasi hiki?
Ninasoma magazeti naona hali ni hio hio.Najaribu kutembea vijiweni hali ni hio hio
Hivi ni kwamba hali kweli ni ngumu au kuna kitu mimi sikioni?
Hapa nilipo nina 2500 na nina familia inanitegemea,sina kazi wala nini.....
Nini kinaendelea?
Itakuwa anawashwa-washwa
Walendo huu mawaziri hawautaki?kawaida tu..hayo magazet ulosoma na hao wafanyakazi ulokutana nao wanalalamika wanatumika na mabeberu..sio wazalendo na nchi yao
..nimeshindwa kukuelewa kidg mkuuWalendo huu mawaziri hawautaki?
Yawezekana anatumia hata utupu wake.So unafikiri kama wewe unatumia viungo vyako kulegezewa vyuma ndo kila mtu afanye hivo?
Siku hizi mtaani huku biashara ya tigopesa ni hatari kuliko vita, laki tatu tu majambazi wamevamia na bunduki na kumuua wakala hii ni hatari
..nimeshindwa kukuelewa kidg mkuu
naona ka umeniandika mimi mzee!!!😵😵Ndugu zangu,Fitina kwangu mwiko na nitasema kweli daima;
Nimepita pita kwenye maofisi na maidara mbalimbali na kote nasikia vilio na malalamiko Je ni kweli vyuma vimekaza kiasi hiki?
Ninasoma magazeti naona hali ni hio hio.Najaribu kutembea vijiweni hali ni hio hio
Hivi ni kwamba hali kweli ni ngumu au kuna kitu mimi sikioni?
Hapa nilipo nina 2500 na nina familia inanitegemea,sina kazi wala nini.....
Nini kinaendelea?