Blackninja
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 381
- 327
Nakuza uelewa tu mkuualaaah unazitaka au
Tunasikia tuuuHahahahaha! Hahahahaha! Mbeya ndio zipo sana hususani suala la mikopo mtu akikupa pesa mkononi piga ua hiyo pesa hutairudisha hata iwaje, yeye ataishia kujimilikisha kitu ulichoweka poni
toa msaada😂😂😂😂😂😂😂
Aje ngende...toa msaada
Ndo wapi hukoAje ngende...
Ndo wapi huko
Makete kubwa mkuuu shida ni directionNenda Makete - Njombe. jiandae kuua wazazi wako au ndugu wa kuzaliwa nao
Sawaaaatoa msaada
njoo njombe...Imekuwa ni kawaida kusikia kuwa flani ana pesa za kichawi .....
Swali langu je ni kweri hizo pesa zipo?????
Na kama zipo zina mwingiliano gani na pesa halali ?
Njombe sehemu gani nipe direction mkuu niende sitaniinjoo njombe...