Je, ni kweli Magdalena Sakaya kuongoza ujumbe utakaoweka kambi Zanzibar kulinda mali za CUF zisiporwe na ACT Wazalendo?

Halafu we mbunge uliekatwa kwenye kura za maoni naona nyuzi zako nyingi ni full kujipendekeza kijani ,safari hii naona watakupitisha kwa jinsi unavyohangaika mtandaoni .Back to point yaani nijitolee nyumba yangu kwa ajili ya cuf bure Leo utanilazimisha niendelee kujitolea wakati nimehamia act .
 
Wadai hii nimeiona mitandaoni kuwa Mbunge wa Kaliua Magdalena Sakaya akisaidiwa na Kambaya ataongoza ujumbe wa watu 50 wanachama wa Cuf kutoka buguruni watakaopiga kambi Unguja na Pemba ili kuhakikisha mali za chama chao haziporwi na ACT wazalendo.

Mwenye taarifa zaidi tafadhali.

Yajayo yanafurahisha
Maendeleo hayana vyama!
Jiulize ni kwanini atumie wanachama kutoka Buguruni, ambao ni wageni kule na si wanachama wa CUF walioko Unguja & Pemba ambao ndiyo wanazijua mali za CUF zilizoko huko ??!!!

Yeye keshaiua CUF soon inaenda kuwa kama UPDP, JAHAZI, UMD nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa........ atamsimulia nini?!
Hivi John ushawahi kuishi na Wapemba angalau kutoka mtaa wa 3?! Jana nilikuwa na Wapemba fulani hivi; hadi nikawauliza hivi nyie watu CCM wamewakosea nini hasa?! Hawakunipa jibu la kuridhisha; lakini wakishaamua, wameamua! Nimekuja kuwakoma Wapemba walipomnyima kura Dr. Shein Mpemba mwenzao lakini wakaja kumpa Lowassa Mmasai kutoka Bara!!

Huku Bara hilo hatuliwezi!!
 
Jiulize ni kwanini atumie wanachama kutoka Buguruni, ambao ni wageni kule na si wanachama wa CUF walioko Unguja & Pemba ambao ndiyo wanazijua mali za CUF zilizoko huko ??!!!

Yeye keshaiua CUF soon inaenda kuwa kama UPDP, JAHAZI, UMD nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Cuf haina wanachama Zanzibar bali ina mali zake...... Watu ni wa maalimu Seif!
 
Wadai hii nimeiona mitandaoni kuwa Mbunge wa Kaliua Magdalena Sakaya akisaidiwa na Kambaya ataongoza ujumbe wa watu 50 wanachama wa Cuf kutoka buguruni watakaopiga kambi Unguja na Pemba ili kuhakikisha mali za chama chao haziporwi na ACT wazalendo.

Mwenye taarifa zaidi tafadhali.

Yajayo yanafurahisha
Maendeleo hayana vyama!
Hivi wale wanamgambo wa CUF yaani Blue guard ni wafuasi wa Seif au Lipumba?
 
Wadai hii nimeiona mitandaoni kuwa Mbunge wa Kaliua Magdalena Sakaya akisaidiwa na Kambaya ataongoza ujumbe wa watu 50 wanachama wa Cuf kutoka buguruni watakaopiga kambi Unguja na Pemba ili kuhakikisha mali za chama chao haziporwi na ACT wazalendo.

Mwenye taarifa zaidi tafadhali.

Yajayo yanafurahisha
Maendeleo hayana vyama!
CUF haina mali Zanzibar hata bara zilizokuwa zikitumika ni za kujitolea watu binafsi.
 
Jiulize ni kwanini atumie wanachama kutoka Buguruni, ambao ni wageni kule na si wanachama wa CUF walioko Unguja & Pemba ambao ndiyo wanazijua mali za CUF zilizoko huko ??!!!

Yeye keshaiua CUF soon inaenda kuwa kama UPDP, JAHAZI, UMD nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni wa Zanzibar ila safari yao itaanzia bugururi kuja huko.Walikuweko huku bara kuhudhuria kesi ya Lipumba .Ni wazanzibari wenzenu
 
Wanataka kusambaza mgogoro kutoka wa kichama mpaka wa kijamii, kwa nini wasigawane kwa amani wale wanaomuunga mkono Seif waondoke na mali zao kwa kuwa nao wanamchango katika mali hizo vilevile kwa wanaomuunga mkono Lipumba nao wabaki na mali zao kwa sababu unaweza ukakuta labda katika tawi moja Seif anaungwa mkono na wanachama wengi kama siyo wote kabisa kwa nini uwanyang'anye mali za tawi hilo?.
 
Wanataka kusambaza mgogoro kutoka wa kichama mpaka wa kijamii, kwa ni wasigawane kwa amani wale wanaomuunga mkono Seif waondoke na mali zao kwa kuwa nao wanamchango katika mali hizo vilevile kwa wanaomuunga mkono Lipumba nao wabaki na mali zao kwa sababu unaweza ukakuta labda katika tawi moja Seif anaungwa mkono na wanachama wengi kama siyo wote kabisa kwa nini uwanyang'anye mali za tawi hilo?.
Mali za chama huwa hazigeuki kuwa za mtu hata siku Moja.Zitabaki za chama husika tu.Huwezi sema ohhh wagawane Lipumba na Seif Sharif Hamad.Zile mali ni za chama sio mtu au kikundi cha watu.Zitabaki za CUF.Anayeleta mgogoro ni yule anayepora mali za CUF na kuzifanya za ACT wazalendo
 
Back
Top Bottom