hips.com
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 344
- 91
Hili swali nalitupia zaidi kwa wanandoa na wale wasio na ndoa lakini wamekubaliana kuishi na kuanzisha familia
Sasa twende ..
mwanzoni mwa mahusiano raha ni nyingi kiasi kwamba unaweza hisi hakuna kifo
Ila maisha yanaposonga changamoto nazo hazikai mbali.
Imefika mahali baadhi ya wanandoa anatamani mwenzake apotee kama ndege ya Malaysia.
Sasa swali je ni kweli inapofikia hatua mikwaruzano imezidi na kulia lia kila siku especially wanawake je watoto ndo wanafanya usiondoke au kunatatizo lingine
Nauliza hivi kwasababu wengi utawasikia kama sio watoto mhhh ningeshaondoka.
Tusaidiane plizzzzz