Je, ni kweli kuwa wanawake walio wengi hawapendi kutumia Condoms wakati wa kufanya mapenzi?

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Kadude kadogo lakini kasumbufu kweli. Kanatiaga uvivu. Kila mtu akiulizwa anajibu kisiasa kwamba anatumia lakini mtu huyohuyo ikipita miezi 3 unashangaa ana mimba unabaki kujiuliza alikuwa anamvalisha kwenye kidole gumba ama?
Yaani unaweza ukakanunua vizuri tu. Unaenda nako mpaka gesti vizuri tu. Unakatoa mfukoni unakaweka chini ya mto pale kitandani kujiandaa na mechi vizuri tu lakini mwisho wa siku unajikuta umechakaza rim.

Yaani kitendo cha kunyoosha tu mkono kutoka kona ya kitanda ulipo kwenda chini ya mto ili uivae unahisi kama vile ule mto uko njia panda ya ifakara. Mbalii balaa! Halafu inavyoonekana wanawake wengi hawapendi condom ila huwa wanauliza kuzuga tu ili na yeye aonekane aliuliza swali "baby una condom?"

Ukimwambia sina utamuona anazuga kama kamaindi hivi halafu anajifanya anakupa solution,"basi nakuomba usinyunyizie ddt,umwagilie maua nje ya bustani plz niko danger". Uwe Danger umekuwa transfoma ya umeme! Ukimaliza utamsikia,"halafu wewe sijui ukojeeeee muone vile"mshachakaza rim.

Shikamooni wazee wa kwenda na pakti 3 na unarudi nazo zote 3 zikiwa pakti mpya. Shikamooni wote mnaosemaga mnatumia halafu mna mimba miezi 2 leo. Shikamooni na wale ambao mna sababu za kisayansi kwelikweli
"baby mi nikitumia condom napata allergy na fungus.
 
Ni kweli kinadada wengi hawapend kuvaa kondom wakat wa tendo,labda kama utamla PETE ndio atakwambia uvae kondom usije kumuunguza na mbegu, ila wanapendaga kuvaa suruali kama kondom (leggins)
 
Wazinzi wote hawapendi kutumia condoms hasa wanaume. Wote ngoma droo ka wanaume mngekua mnakomalia condom si wangetumia wote.
 
Juzi mchepuko mmoja ukaniambia " bby tutasikiaje utamu kama tutatumia kondom? " nkamwambia twende tukapime kwanza, hakupatikana kwenye simu wiki nzima.
 
naelewaku kula pipi kwenye mfuko hupati utamu wote.

Nasema ni bora usipate utamu wote kwa muda wa nusu saa
kuliko ku pata utamu wote na kujiondokea na matatizo ya miaka.
 
Mimi niko tofauti sana, nikihesabu mara nilizofanya bila condom zinaweza kuhesabika hata 5 hazifiki na zote baada ya tendo ni majuto na kuimagine nimejiwekea risk gani. That was 2012, from there hata na mpenzi wangu tunatumia condom, mwanzoni alikuwa hapendi lakini nikamzoesha. Jamani Ukimwi upo, na hv siku hzi kuna chain kubwa, Y take the risk. Kuna masuala ya unplanned pregnancy and all. Condom kama salama na dume c shauri, tumieni rough rider, kuna zingine jina nimesahau 3000 packet, ni soft na nzuri sana.
Tujilinde ukimwi upo jamani

NB. Jifanyi kazi TACAIDs, ni ushauri tu
 
Duuuh asilimia kubwa bila kujali ni me au ke wanauza mechi a.k.a kuchakaza rim sikuhizi. Mkuu esc343 unaweza enda na 3 ukarudi nazo 3.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom