Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,305
- 29,852
Wajuzi wa haya mambo nawakaribisha, walimu kaeni pembeni hapa nataka wenye akili zinazowaka Moto wenye mawazo constructive tuu. Kuna huu msemo no success without sacrifice Je unaleta taswira ipi Kwa sisi wapambanaji
Nimekuwa nikiona watu wengi matajiri wakubwa kwenye mahojiano na vyombo vya Habari wamekuwa wakimotivate watu kirahisi sana kuhusu utajiri ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti huwez kulima mchicha baada ya miaka mitano ununue mabus kumi.
Moja ya kitu nilichojifunza utajiri unataka wenye Roho ngumu kama sisi akina Mpwayungu Village bila hivyo hutoboi, kaangalie movie ya black diamond utakuja kuniamini haya maneno yangu. Wengi waliofanikiwa waliweka roho zao mkononi zikawa zinadundadunda tu mda wowote roho inaacha mwili but after success now wanainjoy sweet dark chocolate
Safari ya maisha inataka kujitoa muhanga ukianza kusikiliza washauri na motivation speaker hutoboi, anaesema anza na kuuza vitumbua mitaani hata KFC alianza hivyo huyo ni muongo mkubwa!
N. B. no risk no return