Je ni kweli kuwa anayejua Baba wa Mtoto ni Mama?

Kuna akina mama wengine lakini iwa wanashindwa kutambua huyu mtoto baba yake ni yupi. Maana anapiga remix anatembea na kiserengeti boyz kuna muuza nyama kuna muuza genge kuna dereva taxi kuna pedeshee mwenye duka mama huyo huyo mmoja na kuna mmewe sasa mtoto akizaliwa hapo sijui kama mama anaweza tambua.
Wapo wanawake wanao fanya remix ya aina hii.

Sure!
Na hiyo ni kali sana,Manake mtoto akitoka hapo ni kijoti kuliko joti orijino.
 
mbona kitu ni kile kile, kama mwanaume ni yule yule au mwanamke ni yule yule, mie naona itakuwa bora kama utamfundisha mwenzio nn unataka ili akupatie kuliko kutoka nje. maana sehemu zote za siri zinafanana kwa wanaume na wanawake.

No...sio kweli. Hujawahi kukutana na zilizopinda? zilizonyooka? nene? nyembamba? zilizokatwa? zenye maji? kavu? saa sita? vindimu? n.k.

Unachozungumzia wewe ni jinsia lakini watu ni tofauti. Kuna mambo mengi hapa...tangible na intangible ambayo unaweza kuyapata au kuyaona kwa fulani na usiyapate au usiyaone kwa mwingine. Sasa kwa mtaji huo utafanyaje maana kuna mambo mengine hayafundishiki....
 
Inabidi tu ulizike na ulichokipata. Nadhani utakizoea na kukipenda. Kutoka nje jamani maradhiiiiiiii!
 
Kuna usemi kuwa nayejua Baba wa Mtoto ni Mama.Hii inatokana na tabia ya wanawake wengi kuwabambikia Waume zao au wenzi wao mimba wakati wamepatiwa na wengine.Inatokea pale Msichana anapotaka kuolewa na Mtu mwenye fedha au Mwanaume aliyempenda lakini kwa bahati mbaya akapatiwa mimba na mwingine.Wakinamama wa JF ni kweli? na kwa Wanaume wa JF ni kweli tunabambikwa?

Hatua ya kwanza ya kujibu swali lolote ni kulielewa swali lenyewe. Nimesoma majibu mengi humu yanayoonyesha wanaojibu wanatoa maelezo mengi na mazuri, lakini hawajibu swali.

Usemi kuwa "anayejuwa baba wa mtoto ni mama" una ukweli wenye uzito mkubwa sana. Lakini, ukweli huu si ukweli mtupu.

Ukweli unapatikana pale tu anapojuwa kwa uhakika kuwa aliyekwenda naye ndiye huyo huyo tu. Lakini ukweli huu unapungua thamani na uzito atakapokuwa amekwenda na watu zaidi ya mmoja.

DNA imekwisha waumbua akina mama wengi sana hata kama wanasema kwa nia nzuri au kwa kukosea kwa makusudi. Hali ambayo inathibitisha jibu langu.
 
Kuna usemi kuwa nayejua Baba wa Mtoto ni Mama.Hii inatokana na tabia ya wanawake wengi kuwabambikia Waume zao au wenzi wao mimba wakati wamepatiwa na wengine.Inatokea pale Msichana anapotaka kuolewa na Mtu mwenye fedha au Mwanaume aliyempenda lakini kwa bahati mbaya akapatiwa mimba na mwingine.Wakinamama wa JF ni kweli? na kwa Wanaume wa JF ni kweli tunabambikwa?

Kuna kipindi kwenye TV ya Marekani ambacho single mothers huwaweka kiti moto wale wanaodhani kuwa ni Baba wa watoto zao ili wachangie malezi ya watoto. Hawa inaelekea kwa siku hutembea na mwanaume zaidi ya mmoja. Nasema hivi kwa sababu kuna mama mmoja aliwaita wanaume 10 na wote hawa walifanyiwa DNA kuangalia kama ni Baba wa mtoto ambaye mama alitaka mzazi mwenziye amsaidie pesa za matunzo na wote majibu yalionyesha kwamba hawakuwa wazazi wa mtoto yule. Kwa hiyo kama mwanamke ni mwingi mno si ajabu hata yeye asijue ni nani Baba wa kweli wa mtoto anayemdhania anaweza kabisa asiwe huyo.
 
Kuna usemi kuwa nayejua Baba wa Mtoto ni Mama.Hii inatokana na tabia ya wanawake wengi kuwabambikia Waume zao au wenzi wao mimba wakati wamepatiwa na wengine.Inatokea pale Msichana anapotaka kuolewa na Mtu mwenye fedha au Mwanaume aliyempenda lakini kwa bahati mbaya akapatiwa mimba na mwingine.Wakinamama wa JF ni kweli? na kwa Wanaume wa JF ni kweli tunabambikwa?[/
Alhamdu-li-llah . Teknologia sasa. Watu wanachambua genes. Sasa ni wa nani siyo tatizo.
 
Sababu ya kutoka nje ya ndoa ni tamaa ya fedha,ulimbukeni wa ngono na pepo ngono.Kwani hata wenye uwezo kifedha hutoka nje ya ndoa.
 
Back
Top Bottom