Je, ni kweli kulitokea hii mvua ya samaki nchini Thailand?

Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
616
854
Nataka kujua kwamba ni kweli kulitokea hii mvua ya samaki nchini Thailand.

Tatizo langu, je ni kweli limetokea na kama ni kweli kivipi?

Msaada hapo wanasayansi.
 
Ni kweli. Kimbunga tornado kikianzia baharini ni kikubwa kiasi maji husimama wima nakuzunguka cyclonically .maji husimama wima kama unavoona vumbi na upepo nchi kavu. Kikipita kama mwanza mathalani kikapita ziwani Yale maji huinuka na samaki mule ndani kinauwezo kutembea nayo umbali kadhaa hadi nchikavu.kisha presha hupungua maji yanatapakaa mjini na samaki humohumo! Picha ziko mbali kidogo,lakini huambatana na mvua na upepo wa hatari,upepo wa kuweza kuangusha gari kubwa LA mizigo barabarani! Hayo majanga sikia tu huku sisi kikija ndio kiama chetu! Kama bukoba tu maafa madogo yalituchachafya...
 
Safi sana. Maelezo mazuri.
 
Saf kabsa kwa majibu yasiyo na shaka ,,ungekua mwalimu Wang wa geography A level nngefaulu sana naisi ..
 
Ni kweli. Kimbunga tornado kikianzia baharini ni kikubwa kiasi maji husimama wima nakuzunguka cyclonically .maji husimama wima kama unavoona vumbi na upepo nchi kavu. Kikipita kama mwanza mathalani kikapita ziwani Yale maji huinuka na samaki mule ndani kinauwezo kutembea nayo umbali kadhaa hadi nchikavu.kisha presha hupungua maji yanatapakaa mjini na samaki humohumo! Picha ziko mbali kidogo,lakini huambatana na mvua na upepo wa hatari,upepo wa kuweza kuangusha gari kubwa LA mizigo barabarani! Hayo majanga sikia tu huku sisi kikija ndio kiama chetu! Kama bukoba tu maafa madogo yalituchachafya...
Ni hakika kwa Maelezo yako na video nliyoiona nmejkuta naona kabsa majibu yko yanakuwa mujarab kwa swali langu.
Asante Sana Mungu akubarik.
Lkn Kama yupo mwngne anawez kutupa elimu zaid tunasubiria.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom