Je, ni kweli kuhusu Mombasa?

Je, ni kweli kuhusu Mombasa?

Unapenda wanawake wa mombasaa!?? shilole wako hakutoshi wee nuh mtoto wa mwsho
 
Swaga za mavee? Ati mimi wa wapi we binti vipi? Namna ndio maana mnashindwa kuandika barua za kuombwa uroda.

Hahaa... master plan bhana, unanivunja mbavu mkuu, mtoto wa mwisho (mziwanda ) ashakuwa binti tena, uroda aliwe na barua anatuma yeye
 
Wakuu mambo habari zenu,

Wakuu kwa kipindi kirefu nimekuwa nikivutiwa kwenda jiji la Mombasa nchini Kenya. Sasa kiukweli watu wengi sana wanapata mshawasha flani wa kujua kuhusu Mombasa

Jje ni kweli huko watu wanafanya vibaya, manake hapa bongo tunaichukulia kama sehemu fulani katika Eastafrika yetu so amazing sana, Je ni kweli jiji ndilo la pili kwa ukubwa Kenya?,

Je ni kweli kuna starehe za kufa mtu?, halafu wanasemaga eti kule wanaume wanabakwa sana, mi naogopa sana japo natamani kupafika.

Je kuna sehemu za bata huko? na ule msemo ukitaka gari nenda Mombasa wanamaana gani wadau?.

Mmi napenda sana Wanawake wa Mombasa .

Je hapa bongo wanapatikana wapi?
Kwa mwandiko wako huu ukienda lazima ubakwe wazazi wanahasara polee
 
Back
Top Bottom