Je, ni kweli IPTL imewasha mitambo yake?

IPTL wamewasha mitambo yao lakini mbona mgao wa umeme uko palepale?

Hapa ninapoandika hakuna umeme Kariakoo wakati kariakoo ndiyo ikulu ya uchumi wa Tanzania
Kwanza wewe ndio unastahili kulala na Koroboi maana ulifaidi sana enzi za Mwendazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…