Je, ni kweli imeandikwa?

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
12,089
12,830
...Kwamba wataingia kwa njia moja ndani ya mji huu,lakini watatoka kwa njia saba?
17098618_1382874295066597_3639338953861756790_n.jpg
 
...Kwamba wataingia kwa njia moja ndani ya mji huu,lakini watatoka kwa njia saba?
17098618_1382874295066597_3639338953861756790_n.jpg
Dar es salaam City - Nyumba ya amani

Quran 10:25-27
25.Na Mwenyezi Mungu anaita kwenda Nyumba ya Amani,na anamwongoa amtakaye kwenye njia iliyonyooka.
26.Kwa wafanyao wema ni wema na zaidi. Wala vumbi halitawafunika nyuso zao,wala madhila.Hao ndio watu wa peponi.Humo watadumu.
27.Na wale waliochuma maovu,malipo ya uovu ni mfano wake vile vile,na yatawafika madhila.Hawatakuwa na wa kuwalinda na Mwenyezi Mungu.................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom