Je! Ni Kweli BVR Machine zina Background Database of Pseudonames?

kama huna uhakika unatuletea huu udaku hapa wa nini? peleka kule jukwaa la jokes au mapenzi.
 
hivi unajua maana ya neno evicende? au unajiandikia tu baada ya kubwiya viroba.

 
Kama mashine ni mpya na haijatumika kabisa haitakuwa na majina ila kama ilitumika mkoani majina yote ya mkoani yanabaki kwenye kit hayafutwi mpaka mwisho wa zoezi.
mkuu walichofanya ni zile mashine karibia zote zilizokuwa mikoani zimekusanywa hapo ili kurahisisha zoezi. Ndo maana wameweka huo mkoa kuwa wa mwisho kwa ajili ya kupata mashine nyingi kwa wakati mmoja kutokana na population ya hapo.
 
Pengine hilo ndilo lile goli la mkono ambalo Nape alitamba nalo kuwa ni lazima CCM walifunge mwaka huu kubeba ushindi dhidi ya wapinzani kwenye uchaguzi mkuu.
 
 
Kumbuka hizo machine (BVR) ndizo zinazunguka nchi nzima kwa maana zikitoka zone moja zinakwenda nyingine. Kwa hivyo zimetumika mahala pengine na hiyo unayoiona hapo ni counter ya watu waliokwisha andikishwa kupitia mashine hiyo. Kwa ufahamu wangu ni kuwa kila BVR ina generate namba zake ndio maana kila kitambulisho kina namba zake ambazo haziwezi kufanana na namba za kitambulisho kingine, kwa msingi huo lazima mashine iwe na counter la si hivyo inaweza kuwapa watu kadhaa namba moja. Kwa hio hilo sio tatizo.
 
Acha mambo ya VVU wewe
 


Usikate tamaa kaza mpaka mwiso utaweza tu, jana ilikuwa mbinde sana vituo vingi Dar, hii ni kwa ajili ya mwamko walionao wananchi. Hadi leo nyomi bado inaendelea vituoni asubuhi hii. Baada ya siku nne za mwanzo nenda tena, mambo yatakuwa shwari mkuu.
 
Halafu huna elimu ya kutosha kuhusu hizo BVR, badala ya kuomba upewe shule unaanza umbea wa kike.
 
hizo ni mojawapo ya mbinu za chama tawala kubakia madarakani! sishangai maana katika dunia ya utandawazi kila kitu kinawezekana.
 


Ni kweli, itakuwa majina yale(kama kweli yalikuwepo) yatakuwa niya vituo vilivyotangulia kutumia mashine hizo.
 
Ni kweli, itakuwa majina yale(kama kweli yalikuwepo) yatakuwa niya vituo vilivyotangulia kutumia mashine hizo.

Na mwenye uwezo wa kuona hayo majina ni operator sasa how comes mtu abaini kua kuna majina kama hayo.Dah bongo noma aisee,inamaana aliyesema kua kuna majina ni mmoja kati ya wahusika sasa.
 
Kama unabisha una evidence kuwa baba yako ndio huyo? Au uliAMINI kauli za mother wako tu hata DNA hujapima
Wewe mama yako alipokuambia kwamba mimi ndiye baba yako mbona ulikubali?
 
na mwenye uwezo wa kuona hayo majina ni operator sasa how comes mtu abaini kua kuna majina kama hayo.dah bongo noma aisee,inamaana aliyesema kua kuna majina ni mmoja kati ya wahusika sasa.

yaan mtu anakurupuka tu kutoa habari isiyokua na mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…