Hii habari ina vimelea na viini vya uchochezi. Habari yako hii ni kama hadithi za kufikirika na kusadikika, haina evidence.Leo jioni nikiwa napita eneo moja karibu na kituo cha uandikishaji wapiga kura kulikuwa na zogo. Madai ni kwamba kituoni hapo imebainika mashine moja ya BVR imeonesha imeshakuwa na majina 1000 ya wapiga kura katika kituo hicho wakati ilikuwa ndio kwanza mtu wa kwanza anaandikishwa kituoni hapo.
Kama ni kweli kwamba machine zinakuwa tayari zimejazwa majina feki ya kituo husika kabla ya kuandikwa majina halisi wa kituo husika; hili ni jambo la hatari sana kwa mustakabali wa demokrasia na amani ya taifa hili.
ANGALIZO: Tuwe makini kwa taarifa kama hizi LAKINI pia tusizipuuze.
Hii habari ina vimelea na viini vya uchochezi. Habari yako hii ni kama hadithi za kufikirika na kusadikika, haina evidence.
Kama mashine ni mpya na haijatumika kabisa haitakuwa na majina ila kama ilitumika mkoani majina yote ya mkoani yanabaki kwenye kit hayafutwi mpaka mwisho wa zoezi.
Leo jioni nikiwa napita eneo moja karibu na kituo cha uandikishaji wapiga kura kulikuwa na zogo. Madai ni kwamba kituoni hapo imebainika mashine moja ya BVR imeonesha imeshakuwa na majina 1000 ya wapiga kura katika kituo hicho wakati ilikuwa ndio kwanza mtu wa kwanza anaandikishwa kituoni hapo.
Kama ni kweli kwamba machine zinakuwa tayari zimejazwa majina feki ya kituo husika kabla ya kuandikwa majina halisi wa kituo husika; hili ni jambo la hatari sana kwa mustakabali wa demokrasia na amani ya taifa hili.
ANGALIZO: Tuwe makini kwa taarifa kama hizi LAKINI pia tusizipuuze.
Kwanza niseme nilipata nafasi ya kuwa muandikishaji kwa kutumia hizo mashine katika mkoa wa Lindi. Mashine hizo zinatunza kumbukumbu za majina yote yaliyowahi kuandikishwa kwa kutumia mashine hiyo. Majina hayo yanakuwa ni ya aina mbili, ambayo hupatiaka kwenye sehemu inayoitwa VOTERS ON KIT
1-kwanza yapo yale ambayo yanajulikana kama training, haya ni yale ambaye yalitumika wakati ule wa kuwapa mafunzo ya vitendo waandikishaji, majina haya utoa kadi ambazo nazo huwa zimeandikwa kabisa training
2. Mengine ni yale ambayo yalishaandikishwa kwaajili ya upigaji kura kutoka katika vituo vilivyotumia mashine hizo apo awali na yanayoendelea kuandikishwa kila siku.
Hivyo basi uwepo wa majina mengine hakuna maana mbaya na ndio maana mawakala wanashauriwa kuchukua jina la mtu wa mwisho anayeandikishwa katika siku husika, ili siku inayofuata waanzie kwenye jina lile la mwisho na kuendelea.
How possible is this?