Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,416
- 3,911
Mimi nina halotel je ukifika hapo unafanyajeKumbuka uwe na line ya halotel
Ukisha install application na ukiconect inakua kama kwenye picha hapa
View attachment 1748460
Mimi nina halotel je ukifika hapo unafanyajeKumbuka uwe na line ya halotel
Ukisha install application na ukiconect inakua kama kwenye picha hapa
View attachment 1748460
Bonyeza start mkuu halafu fungua application kama whatsapp uanze kuchatMimi nina halotel je ukifika hapo unafanyaje
Kifurushi kipi kimeshuka mkuu?Sasa vifurushi vimeshuka bei kwanini mnahangaika na bure? Bure inaua
AirtelKifurushi kipi kimeshuka mkuu?
Airtel
MB 500 na dakika 70 mitandao yote kwa siku 71000 unapata GB ngapi?
MB 500 na dakika 70 mitandao yote kwa siku 7
Sasa vifurushi vimeshuka bei kwanini mnahangaika na bure? Bure inaua
Utawaka Mkuu hutaamini utakayoyaona, slow TTCL Haifati hapo ni Bora ukatumia bando tu kuliko hilo dude,Ngoja mb zangu ziishe nijaribu ufundi
Kanasaidia kwa mtu asie na bando but nimechukunguza nadhani unapewa limit ya 2Mb kwa trial ya siku 7 kisha utalipia kifurush cha kuanzia 11 k kwa mweziUtawaka Mkuu hutaamini utakayoyaona, slow TTCL Haifati hapo ni Bora ukatumia bando tu kuliko hilo dude,
kweli mwanangu ya kisenge sanaHakuna kitu hii app bureeee kabisa, haifanyi kazi inavyopaswa kufanya hata ukiupgrade kwenye kifurushi cha 23k kwa mwezi unapewa 7days free kwanza ndio ulipie lakini hamna chochote ipotezeeni tu.
Ipi hiyoKama hii haifanyi kazi, kuna nyingine mbadala ya hii inayoweza kufanya kazi vizuri??