Nikhil
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 361
- 120
Habari zenu all jf members!
Wakuu imekua mazoea ambayo naona yanazidi kupanda kasi kutokana na uelewa finyu juu ya pc software.
Swali kama lilivyo hapo juu naomba mnijuze manake pc yangu ni xp ila wananishauri niweke 7 .
Je nisahii kweli ? Na kama sivyo naombeni mnielekeze version ya window ambayo ni suited kwa pc yangu?
Wana IT humu jamvini naombeni mnijuze ..
Natanguliza shukrani.