niwaambie kitu wanna jf wnzangu ili ufanikiwe katka mambo yako cha kwanza ni kujituma kngne ni kujifunza kutokana na historia yaani kujua ni wapi ulipowahi kukosea usikosee tena ili kufanikiwa vizuri lakn kwa mapenzi hivi vyote nlivotaja havisaidii tuyaache mapenzi kama yalivyo msisahau Kuwa........ love is always unconditional
tatizo swaga hunA
usichoke utampata one day
Sometimes jifunze kuependa yule usiempenda, in long run utenjoy, kuliko yule unaempenda wewe
kama wanakukataa fanya shughuli nyingine mapenzi tuachie sisi tusiochagua.pia wanachagua kama ww unavyochagua usione ajabu na kujisikia vibaya
Hiyo ni ishu ndogo tu.... ANZA KUISHI MAISHA YA MAIGIZO!! Watakuja wenyewee
Pole e...
Sijui mama amehusikaje hapo au umejisikia kuandika tu!!.
Sijui suala la mtu kuwa na hela, unalielewaje?
1. Mtu ataonekana anahela akiwa na kiasi gani kwenye akaunti yake
2. Au akiweza kufanya nni kwa kutumia hela zake!
3. Je utampima kwa kuangalia matumizi yake ya kila siku?
4. Au akirizika Na hela alizonazo?
Kwangu Mimi na naweza sema ninazo labda ukininganisha na wengine nitaonekana sina hela.
Kwasababu hata MO dewiji ni maskini ukilinganisha na yule tajri wa marekani.

Nilimaanishaje mkuu kuwa wao wanapenda raha tu ila shida au wakt wa hali ngumu na taabu upendo wa kweli utaupata toka kwa mama ndo upendo wake una guarantee,au hauna expire date kaka.ila wao wanapenda uwe na kazi nzuri,nyumba nzuri,usafiri binafsi na hela za kutosha pia na geto lako msebule uvutie uwe na vitu vingi vizuri kama ujuavyo,ukimkaribisha akapaona hatawahi kuuaga kuwa anasepa utashangaa amelala au mda mwingi anapenda akutembelee.
Ni hayo tu mkuu