Je, ni halali Kiongozi mwenye dhamana kubwa ndani ya Bunge na nchi kuvaa nguo kama hii?

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,734
Kuosha magari ni sawa, je kwa hii ya kuvaa skin tight ni sawa?

Naibu Spika Dk. Tulia aosha Magari ya Wabunge, Mawaziri kuwaunga mkono waandishi wa habari

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu (kushoto) akiosha moja ya magari ya wabunge na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) kuwaunga mkono waandishi wa habari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Katika zoezi hilo Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson alichangia shilingi milioni tano na Dk. Kigwangalla shilingi milioni moja.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu (katikati) akiosha moja ya magari ya wabunge na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) kuwaunga mkono waandishi wa habari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’, Benjamin Thompson.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akiosha gari na Miss Tanzania 2014/15, Lilian Kamazima (kushoto) kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini. Katika tukio hilo Dk. Hamisi Kigwangalla alichangia shilingi milioni moja.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akiosha gari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Katika tukio hilo Dk. Tulia Ackson alichangia kiasi cha shilingi milioni moja.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu (kushoto), Msanii wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel (kulia) na Miss Tanzania 2014/15, Lilian Kamazima (katikati) wakiosha moja ya magari ya wabunge na wadau wengine kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu (kulia) akiosha moja ya magari ya wabunge kuwaunga mkono waandishi wa habari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bunge Sports, William Ngeleja (aliyeshika kipaza sauti) akizungumza kuwapongeza waandaaji wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’ asubuhi katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu na Mwenyekiti wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’, Benjamin Thompson (katikati). Katika zoezi hilo Ngeleja alichangia shilingi laki moja huku timu ya bunge ikichangia shs milioni moja.

Mwenyekiti wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’, Benjamin Thompson (katikati) akizungumza katika zoezi la kuosha magari kwenye kampeni maalumu ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’ ikiwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson na Mwenyekiti wa Bunge Sports, William Ngeleja (kushoto).

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu (kulia) akizungumza kuwapongeza waandaaji wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’ asubuhi katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Dk. Tulia alichangia shs milioni tano.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu (kushoto) akiosha moja ya magari ya wabunge kuwaunga mkono waandishi wa habari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Mmoja wa wasanii wa muziki akijitolea kuosha moja ya magari ya wabunge na wadau wengine kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla (katikati) akimkabidhi hudi ya shs milioni moja Mwenyekiti wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’, Benjamin Thompson (kushoto) kwa ajili ya kuchangia fedha kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini. Kulia ni Mratibu wa zoezi hilo.

Miss Tanzania 2014/15, Lilian Kamazima (kulia) na Mkurugenzi wa Utafiti na Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Athuman Rehani (kushoto) wakijitolea kuosha magari kwenye kampeni hizo. NHIF waliosha gari lao kwa shs 100,000/-.
 
Amekukera nini? Au kavunja sheria gani? Hayo ni maisha yake binafsi. Tatizo letu ni pale anapoua democrasia. Haya mengine ya kwake hayana mchango, tidja wala madhara katika maisha yetu na vizazi vyetu.

Hiyo mnayoita Truck suit ina tofauti yeyote na hizo skin tight waliovaa hao mabinti wengine? tuache kutetea visivyofaa ni nafuu angevaa tshirt ndefu angekuwa kajistili kuliko muonekano huo.
IMG_0519.jpg
 
Amekukera nini? Au kavunja sheria gani? Hayo ni maisha yake binafsi. Tatizo letu ni pale anapoua democrasia. Haya mengine ya kwake hayana mchango, tidja wala madhara katika maisha yetu na vizazi vyetu.
Mkuu kuvaa huku kuna mchango mkubwa sana na haya yanayotokea kwani kiuhalisia uvaaji wa mtu usio na staha mara nyingi uwakilisha tabia na ndio maana kwa wale wanaojiheshimu ni wazi kwa kivazi hicho ungekuta amejifunga kanga.
 
Hii sio chuki binafsi ndugu wewe ndio unafikra za kipumbavu, hata kama ni Track suit lakini kwa jinsi ilivyo haina tofauti na skin tight na imebana na kuonyesha maungo yake kwa nje. kiuhalisia haijakaa sawa hata kama ukitetea ukweli unabaki kama ulivyo
Aaah kwahiyo kumbe ushaamua kuwa haijakaa sawa hata mtu atetee na unachokiamini wewe (UKWELI) utabaki pale pale sasa mbona thread umeweka kama unaulizia uhalali? au ungependa tu kutupotozea muda?
 
Uwanja wa michezo, kuosha magari....Taifa staz inapigwa 2 bila.. mnawalalamikia wachezaji. Mbona miundombinu yao hamuitilii manani? Mlisomea wapi hata kitu kidogo kama hicho mnakosa hata mtu mmoja mwenye busara kuwashauri vinginevyo? wote ndo mlivyo? tuwaeleweje? Aaargh najuta kuzaliwa kati yenu.
 
Amevaa kulingana na shughuli na eneo. Angeenda hivyo bungeni ndipo labda ingekuwa shida
 
kuwaunga mkono waandishi wa habari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Katika zoezi hilo Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson alichangia shilingi milioni tano na Dk. Kigwangalla shilingi milioni moja.
Hapa mimi ndio sijaelewa, waandishi hawana waajiri?hao waandidhi walichangiwa wanakatiwa Bima kwa kigezo gani?
 
Hii sio chuki binafsi ndugu wewe ndio unafikra za kipumbavu, hata kama ni Track suit lakini kwa jinsi ilivyo haina tofauti na skin tight na imebana na kuonyesha maungo yake kwa nje. kiuhalisia haijakaa sawa hata kama ukitetea ukweli unabaki kama ulivyo
Mkuu labda utoe suggestions alipaswa kuvaa nguo gani hapo.
 
Hapana hii sio sawa kabisa, hii nguo imebana sana haina tofauti na wanazovaa dada zetu mitaani, kiongozi kama yeye hastahili kuvaa hivi
Hahahahahaaaaa! Mkuu! Kweli UKAWA umevurugwa. Huoni kwamba hiyo ni nguo ya mazoezi? Angalia kuanzia nguo alizovaa juu mpaka viatu. Sioni hoja hapa zaidi ya upumbavu tu wa mleta mada
 
Back
Top Bottom