Je ni China tu inayotengeneza simu feki?

hivi nini tafsiri ya MADE IN CHINA ... uliza utapata jibu la swali lako ....
 
China wanatengeneza karibia simu zote duniani, kuanzia iPhone original, iPhone feki, simu zao wenyewe ambazo hazina brand name "Simu za Kichina" etc pia sheria za copyright na patents haziheshimiwi sana China ndo maana inakuwa rahisi kwao kufyatua vitu feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…