Je ndo kunikubali au zuga?

Wana MMU niaje?

kuna MDADA nilimwita sehemu, tuka chat kwa muda, then finally nikaanika yaliyomo moyoni....a-z, mdada akajidai kashtushwa na niliyomweleza akitanabai kuwa hakutarajia mimi kumwambia yale niliyosema na mizunguko mingi ya kike... nikajaribu kuongeza nyama nilipohisi kuna mifupa....sister akadai ooh jibu analo na hata wakti naanza kurusha kete jibu alikuwa nalo ila anashindwa kuliweka wazi...nkamwambie kuna majibu mawili, YES, NO na wakti mwingine PENDING Y/N....kwa sababu muda ulikuwa umeenda akadai PENDING Y/N akiaidi ataniabie usiku.... tulipokuwa njia home maongezi nilihisi kuwa kama ya mtu na mwenzi wake maana mara nilaliwe, nitake kubebwa na vingine vingi.... usiku akanitumia sms....nanukuu ....naomba ili swala tuliongelee kesho.... nkamwambia poa....akashukuru sanaaa! kesho yake sikumkumbusha ila ana nitumia sms zilizotulia sana tofauti na zamani, na niwapo kwa miangaiko hasiti kuniambia maneno yenye matumaini tele...
jamani ndo probation period ama?

Huyo tayari yuko kwenye 18 zako mkuu, they always behave that way
 
Huyo kuku tayari kashafka ktk himaya yako weee ni kuchinja tu kilichobaki
 
keshakubali huyo, na wala usimuulizie jibu la maombi yako tena. we andaa mtoko tu ukale mzigo, na wala usisite kumuita mpenz, sweet, hny utaona kama atamind.
 
Panga siku, mtoe na kula kitu tambaa zako ukiwa mwepesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom