Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Hahhaaaaa!!! Concord zilikuwa ni za mfaransa!! Kwani ndege zinazoacha hiyo michirizi angani ni concord??? Ndege zote kubwa zinazopita juu sana lazima utaona hali hiyo,Wakuu
Asalam-alleykhum
Leo nikiwa nimetulia kijiwe nimeona ndege kubwa ikiruka anga ya mbali na kuacha michirizi miwili ya moshi mweupe (kuna picha chini).
Kwa kumbukumbu zangu ndege za muingereza aina ya Concorde ndo zilikuwa na tabia hii ya kuruka masafa ya mbali na kuacha michirizi ya aina hii.
Lakin kama sikosei nchi nyingi km sio zote zilishasitisha matumizi ya hizi Concorde kitambo sana.
Je inamaana kuna mataifa yameanza urushaji wa ndege hizi tena?
View attachment 1529778
Haahaa ni akina [emoji697][emoji693][emoji692][emoji695] tu hawa.Simu yako iko vizuri kwenye picha
Kwa kumbukumbu zangu ndege za muingereza aina ya Concorde ndo zilikuwa na tabia hii ya kuruka masafa ya mbali na kuacha michirizi ya aina hii.
Jets leave white trails, or contrails, in their wakes for the same reason you can sometimes see your breath. The hot, humid exhaust from jet engines mixes with the atmosphere, which at high altitude is of much lower vapor pressure and temperature than the exhaust gas.
Hiyo michirizi ulilyoipiga picha inaitwa contrails kitaalamu, Wala sio Concord tulikuwa tunadanganywa tu Enzo za utoto wetu , hiyo husababiswa na hewa ya Moto kutoka kwenye engine inapokutana na hewa ya baridi ambayo ipo kwenye very low pressure, ndege uliyopiga picha ipo kwenye altude za kuanzia futi 39000
Concord ya mwisho kupaa comercialy ilikuwa ni mwaka 2003
Mbona ndege nyingi tu zinaacha hizo trails!
Asanteni wakuu "mmenipanua" uelewaHahhaaaaa!!! Concord zilikuwa ni za mfaransa!! Kwani ndege zinazoacha hiyo michirizi angani ni concord??? Ndege zote kubwa zinazopita juu sana lazima utaona hali hiyo,
Mbona ndege nyingi tu zinaacha hizo trails!
Samahani mkuu unatumia simu ganiWakuu
Asalam-alleykhum
Leo nikiwa nimetulia kijiwe nimeona ndege kubwa ikiruka anga ya mbali na kuacha michirizi miwili ya moshi mweupe (kuna picha chini).
Kwa kumbukumbu zangu ndege za muingereza aina ya Concorde ndo zilikuwa na tabia hii ya kuruka masafa ya mbali na kuacha michirizi ya aina hii.
Lakin kama sikosei nchi nyingi km sio zote zilishasitisha matumizi ya hizi Concorde kitambo sana.
Je inamaana kuna mataifa yameanza urushaji wa ndege hizi tena?
View attachment 1529778
Ndege za concorde hazijaruhusiwa. Pia hizi ndege kubwa zinazoruka mbali bado zinatoa huo moshi. Unaitwa chem trail.Wakuu
Asalam-alleykhum
Leo nikiwa nimetulia kijiwe nimeona ndege kubwa ikiruka anga ya mbali na kuacha michirizi miwili ya moshi mweupe (kuna picha chini).
Kwa kumbukumbu zangu ndege za muingereza aina ya Concorde ndo zilikuwa na tabia hii ya kuruka masafa ya mbali na kuacha michirizi ya aina hii.
Lakin kama sikosei nchi nyingi km sio zote zilishasitisha matumizi ya hizi Concorde kitambo sana.
Je inamaana kuna mataifa yameanza urushaji wa ndege hizi tena?
View attachment 1529778
Concord ni ndege iliyotengenezwa na waingereza na wafaransa hilo neno Concord ni neno la kifaransa lenye maana ya makubalianoHahhaaaaa!!! Concord zilikuwa ni za mfaransa!! Kwani ndege zinazoacha hiyo michirizi angani ni concord??? Ndege zote kubwa zinazopita juu sana lazima utaona hali hiyo,