Sir_Finus JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 330 Reaction score 139 Jun 19, 2011 #1 naweza nikaweka win xp,7 and ubuntu kwenye laptop kwa wakati mmoja? Natumia procedure zip?
Researcher Senior Member Joined Dec 15, 2010 Posts 187 Reaction score 48 Jun 19, 2011 #2 Inawezekana mkuu. la msingi anza na windows, tenga partition kwa ajili ya ubuntu (pengine tumia partition magic) kisha endelea na ubuntu installation ukitumia dual boot option.Angalia link hii kwa maelezo zaidi. https://help.ubuntu.com/8.04/switching/dualboot.html Happy dual boot.
Inawezekana mkuu. la msingi anza na windows, tenga partition kwa ajili ya ubuntu (pengine tumia partition magic) kisha endelea na ubuntu installation ukitumia dual boot option.Angalia link hii kwa maelezo zaidi. https://help.ubuntu.com/8.04/switching/dualboot.html Happy dual boot.