Je, naweza "root" simu yangu bila computer?

Je, naweza "root" simu yangu bila computer?

one click hapa mi kidogo umo ndani kama majanga sielew chochote boss
 
Jamani mnisaheme kuroot ndio kuupgrade cm nina wave 3
 
mkuu chief htc hd a9191 vp inakubali?? alafu nimefungua hiyo link nabonya wp?
 
Tatizo ni kwamba cm inafanyakazi kama pc na ina vitu vyote vinavyo kuwa kwenye pc.kuna kitu kinaitwa comand prompt ambayo kwenye cm usaidiwa na apps kwaba cm inatakiwa ifanyekitufulani.ambapo tofauti na pc ambayo wewe mwenyewe unaweza kucha na comand line ukaweza kutengeneza kitu kupitia comand line so unatakiwa kujua lugha ya java na maandishi yake.nikiludi kwenye pointi ni kwamba pc ndo inatengeza cm na cm haiwezi tengeneza pc.ingewezekana kufanya hivyo ila mpaka cm iwe unlocked.au uzijue namba za factory ili uweze ku unlock cm na uweze kuingiza files zako unazotaka so hizo namba za factory huwez kuzipata labda zitolewe na muundaji wa cm husika.ambazo kibiashara hawaezi kuzitoa.labda madevelopa ndo wana kusaidia wewe kwakuwakosoa watengenezaji wa chombo husika.
 
Ufafanuzi unahitajika
Kwa mkulima wa mihogo kama mimi kuroot simu ni nini?
 
Ku root cm ni kuibadilisha kutoka manufacture to your own manufacture.yaana kuiweka katika ufanyaji kazi unaoutaka wewe mwenyewe ndio maana uki unlock cm(kuitoa katika kifungio cha waundaji kufanya hivyo haitoshi mpaka ku root ndo unakuwa umekamilisha hatua.hivyo waundaji bila kuzifunga cm ingekuwa hakuna haja ya ku root cm so hizikazi ufanywa na ma developers.so hii ndo kazi yangu ku root na kuflash
 
nijibie kaswali kangu hapo juu mtaalam.
 
chief-mkwawa mkuu, nime download apk ya hiyo link uliotoa (one click, nilizikuta version nyingii nikadownload ya latest, frameroot 1.6.1 ya chini kabsa, sijui npo sahihi??). nisha install.
nifanye nn sasa mkuu?? imeniambia super user and US succsfull installed, reboot th device.
 
Last edited by a moderator:

ndo tayari hvo hebu jaribu kudownload kitu kinachohitaji root halafu uone kitakubali au kitakataa?
 
Last edited by a moderator:
Duuh!sisi wavi-tecno 3 series hatuna shida unaweka poot apk...ni 3 clicks tu quishiney afu unatilia superuser at the end of the day

Ndugu yangu mbona mimi kila nikiweka hiyo POOT apk na kufuata zile procedure, lkn nikifika tu kwenye PRESS HERE TO POOT mambo yote yanagoma?
Yaweza kuwa nakosea wapi?
Ni TECNO P3.
 
Wakuu naomba kuuliza kuhusu ili swala la kurut cm, mm nina tecno n7, je nikiirut naweza kutumia au kuiupgrade na kutumia jerry bean??? Please msaada wakuu
 
Haiwe zekani kutoka tecno kwenda jerrybin kwa sababu kuu 2kwanza android OS ime wekwa hulu sana kiasi kwamba hata wewe unaweza ukaitumia kuunda device zako ukaziweka katika OS ya Android but firmware zake zikawa tofauti kuingiliana na jerrybin.hivyo sio rahisi. 2 firmware ya tecno ina support OS ya android tu na sio firmware za waa nzilishi ambao ni wamarekani hivyo hawawezi kuachia kilakitu wazi ndo maana ukitumia tecno af ukapewa htc nexus lazima uone tofauti kubwa hata jinsi ya kugusA napia nitofauti na samsung.jerrybin ni mbaya zaid anawakimbiza Apple.os ni operating systm
 
Unatumia soffware gan ku root hiyo cm maana uzijue comand na cm za kichina software zao wanauza pia hakikisha varsion yake na model yakepia vinginevyo utavuja network ya cm
 
Ndugu yangu mbona mimi kila nikiweka hiyo POOT apk na kufuata zile procedure, lkn nikifika tu kwenye PRESS HERE TO POOT mambo yote yanagoma?
Yaweza kuwa nakosea wapi?
Ni TECNO P3.

hakikisha umeruhusu USB debugging na umeconnect kwenye PC Hiyo USB afu njoo na feedback
you will surely suceed
 
Back
Top Bottom