Niko na benchi langu nimelikalia na kubebanisha miguu.Kuna moja tecno T101, na nyingine Itel vile vidogo kabisa
Ndo ushauri wako?Niko na benchi langu nimelikalia na kubebanisha miguu.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Swali hili nilikuwa najiuliza sana, kwanini mawakala wengi wanatumia viswaswadu ?Tumia smartphone, kikubwa iwe ya uwakala tu ili itunze chaji
Wengi wanaogopa sim kuzima ila kama ni kufanya tu miamala sim ina uwezo wa kuwa na charge 12hrs+Swali hili nilikuwa najiuliza sana, kwanini mawakala wengi wanatumia viswaswadu ?
Alafu pili, hivi huwezi kutumia App husika ( mfano app ya Airtel money, M pesa, Tigo pesa) ukiwa wakala ili urahisishe kazi ?
Hata sijui kwanini, maana hata bank wanatumia viswaswadu[emoji16]Swali hili nilikuwa najiuliza sana, kwanini mawakala wengi wanatumia viswaswadu ?
Alafu pili, hivi huwezi kutumia App husika ( mfano app ya Airtel money, M pesa, Tigo pesa) ukiwa wakala ili urahisishe kazi ?
samsung A seriesJe smartphone gani ndogo inaweza kufaa kwa kazi hii, yaani inaweza kukaa na chaji muda mrefu na kuperform vizuri?
Hata Tecno, Infinix si ilimradi unatumia kwa ajili ya miamala tuJe smartphone gani ndogo inaweza kufaa kwa kazi hii, yaani inaweza kukaa na chaji muda mrefu na kuperform vizuri?
Xz1 compact sonyJe smartphone gani ndogo inaweza kufaa kwa kazi hii, yaani inaweza kukaa na chaji muda mrefu na kuperform vizuri?
Simu za Symbian kama E52 inakaa na chaji uhakika siku kadhaa. Pia kai os si mbaya, sema backup ya sms kwenye Kai os ina mlolongo kidogo.Asante mkuu, vipi hizo simu kwenye utunzaji wa chaji?
Mi TecnoJe smartphone gani ndogo inaweza kufaa kwa kazi hii, yaani inaweza kukaa na chaji muda mrefu na kuperform vizuri?
Je hiyo ya Kai internal memory yake inaweza kutunza msg kama 1000? Na chaji inaweza kwenda masaa 24?Simu za Symbian kama E52 inakaa na chaji uhakika siku kadhaa. Pia kai os si mbaya, sema backup ya sms kwenye Kai os ina mlolongo kidogo.
Ila kama smartphone haikusumbui hio Xz1 compact ni nzuri sana, kidogo sana hakina utofauti sana na vitochi, pia inakaa sana na charge, halafu bei zake used pia ni ndogo chini ya laki 2.
Cha muhimu hakikisha tu battery health ipo poa.