Ukijiunga na VETA ngazi ya Level 1&2 unasoma Physics kule inaitwa Engineering Science. Ukifaulu mtihani wa CBA (Competence Based Assessment) unapata VC2 kigezo cha kukufanya ujiunge na Level 3 ambapo utasoma masomo 5 pekee, somo la Physics halipo kwa ngazi hiyo. E/L ina hesabu zake sio kuanza kusoma mambo ya DENSITY huko Diploma wakati mahesabu kwenye Kozi ya umeme ni mengi