Je naweza kufundisha chuo kikuu?

Je naweza kufundisha chuo kikuu?

kuwota

Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
79
Reaction score
28
Wanajukwaa habari za wakati huu?
Moja ya vigezo vya mtu kufundisha chuo kikuu ni GPA above 3.5 kwa undergraduate.
Mimi Nina GPA ya 3.4 kwa undergraduate na GPA ya 4.0 kwa masters. Je nikiendelea na PhD nikamaliza inaweza nisaidia kuwa na sifa ya kuwa lecturer?? Ushauri please..
 
Bachelor inabidi uwe na GPA ya 3.8, Master's inabidi uwe na GPA ya kuanzia 4.0, halafu usome PhD ndipo unaweza kufundisha chuo kikuu. Hata ukiwa na PhD, huwa wanaangalia kwenye bachelor kama una 3.8 GPA. Hivyo basi, kwa matokeo yako huwezi kuwa Lecturer wa chuo, labda kama unataka kuwa consultant na mtafiti wa kawaida au kufundisha kwenye vyuo vya private ambavyo undergraduate huwa wanaangalia GPA kuanzia 3.5, 3.6, 3.7 wanachukua
 
Lecturer anaanza Upper second class maana ni 3.5 but wanachukuliwa wenye 3.8 so mkuu kaanze undergraduate tena au tafuta private wanaweza kukupa kazi
 
Kwa ninachofahamu mimi, UDSM hata ukiwa Profesa na undergraduate degree ulipata chini ya GPA ya 3.8 basi huwezi kufundisha labda utabaki kua mtu kufanya tafiti, mtu wa maabara etc lakini kusema utabeba projector kupigisha pindi sahau kabisaaa
 
Wanajukwaa habari za wakati huu?
Moja ya vigezo vya mtu kufundisha chuo kikuu ni GPA above 3.5 kwa undergraduate.
Mimi Nina GPA ya 3.4 kwa undergraduate na GPA ya 4.0 kwa masters. Je nikiendelea na PhD nikamaliza inaweza nisaidia kuwa na sifa ya kuwa lecturer?? Ushauri please..
Hiyo ulikuwa zamani saizii sahau kabisa hata update GPA ya 4.7 huwezi baki chuo kama lecture....Udsm ni mfano toshaa ...pale hubaki labda ukatafute vyuo vingine
 
Back
Top Bottom