meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
- Thread starter
- #81
Jf is for great thinkers onlyWenye akili huu uzi tumeuelewa vyema kabisa.
Fanya bidii mkuu
Jf is for great thinkers onlyWenye akili huu uzi tumeuelewa vyema kabisa.
Fanya bidii mkuu
Ni vyema kunywa pombe kuliko kubadili gia angani halafu ndege ikateketeza watu kunazia 2015 hadi 2020.!!Ndio nimeshalewa mkuu
Ha ha ha ha ha ha haNi vyema kunywa pombe kuliko kubadili gia angani halafu ndege ikateketeza watu kunazia 2015 hadi 2020.!!
Bora kife kuliko kundi lile la mafisadi liendelee kushikilia hatima ya nchi yetu.Kama chama kilianza kumshinda muasisi wake mwenyewe Mwalimu Nyerere, kikajigeuza kuwa chama cha mabwanyeye badala ya chama cha wakulima na wafanyakazi (Jembe na Nyundo); mbele ya macho yake mwenyewe, akabaki kulalamika: "CCM sio Mama yangu"! Ni nani huyo wa kukibadilisha chama hiki kilichomshinda profesa wa siasa?! Kukata, kutisha na kuwapoteza baadhi yao ni kukiua chama chenyewe ndani kwa ndani zaidi kuliko kukibadilisha, kwani strong arm tactics haikuwahi kuwa suluhisho vinginevyo kina Mobutu, Bokassa, Gadhafi, Saddam, Hitler, Mussolin na wengineo wengi kama hao wangekuwa bado wanapeta katika Dunia hii!
Mkuu umepotea sana
napita tuSasa huyu Jiwe si alisema alisukumizwa ,kila siku kulalamika kazi ya urais ngumu sana sasa watu wanataka wakusaidie uishie term moja unaanza kuuandaa vi clip uchwara vya uhaini .
Sasa vonoco ndio niniAma kweli ule msemo wa ''ningejua urais uko hivi nisingechukua fomu'' una maana kubwa nyuma yake.
Urais una mengi sana...urais ni kama vile hali ya vita ambayo maadui wanatokea ndani na nje ya jeshi lako.
How come waliojiita wapigania chama wanakaa chini na kupanga mipango dhidi yako kwa maslahi ya kundi lao na sio chama au nchi basi...ukiwaza hivyo ni lazima uwe mbogo tu...Good thing state and party machineries ziko chini yako na zinafanya kazi 24/7 kwa ajili yako.
Yote kwa yote namhurumia Magu lakini pia namkubali sana kwa kuicheza hii game ya "Tz political chess" kwa ustadi wa hali ya juu sana na kwa hisani ya wapiga kura na wazalendo wa kweli utashinda kiulainii ukiwaacha watu wakilia vijijini mwao.
Nikumbushe tu hata JK nyerere alikutana na hilo kundi sumbufu toka enzi zile...alilikemea lakini wapi...nadhani muda muafaka wa kuli-wipe out umefika...at any cost...!!
Najua JPM anawaona anawaona....anawaona wanapokutana na anawaona wanachokipanga and always amekuwa smarter and lightyears ahead of them....
SENT AS RECEIVED!!
"BE AS WISE AS THE SERPENT YOU ENCOUNTER"
naamini utakuwa umeshaelewa maana ya vonocoSasa vonoco ndio nini
njoo tena ucommentAggsdbddjbfkfofkf hshdbdkdksnskek hshsndnkdkd
mkuu upo hai?Mabadiliko lzm iwe mvua liwe jua
Nalog off
We ushapata akili baada ya march 17. au bado jingalaomkuu upo hai?
badoWe ushapata akili baada ya march 17. au bado jingalao
Pole endelea kuwa jinga- laobado
asante sanaPole endelea kuwa jinga- lao