Je, Na Wewe Upo Katika Ubora Huu...?

Kabisa tupo mbele malofa na wapumbavu, kule Lupaso nyumba ndiyo inajengwa haraka haraka.

Yaaaaani acha tyu mwaya. Ngoja tukumbukie ubora wetu dear...!

😍
 
Kabisa tupo mbele malofa na wapumbavu, kule Lupaso nyumba ndiyo inajengwa haraka haraka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
"Heeey wadau njoeni mumuone Mzee Ben Mkapa yule pale getini (pachani kati ya peponi na jahanam) anahojiwa na Jah vs Devil," alisikika m1 wa wapemba walio uawa 2001,
 
Kabisa tupo mbele malofa na wapumbavu, kule Lupaso nyumba ndiyo inajengwa haraka haraka.
Alipokuwa madarakani, kila likizo alienda Lupaso, nyumba aliyokuwa anafikia ilikuwa ya serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…