MATHIAS KABYEMERA
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,793
- 573
Mpaka anaitwa mwanaume ina maana ana kikojoleo cha kiume kitakijoza tuBank account inakojoza?
AiseeeMnazidi kupungua tu. Fanyeni mpango mtuoe hata watank watano kwa style hii tunaweza kosa kabisa wanaume wa kutuoa
Msomali huyokwani we upo nchi gani? Huku kwetu pesa,gari na suti inatosha unaweza hata ukabakwa na wadada.
Jombaa hivyo ambavyo hauna ndiyo vigezo vya kuwa handsome pambana uvipate kisha vjumuishe na ulivyo navyo kisha sasa jilinganishe na pale mwanzoBinafsi sielewi,
Mbali na kukosa hela na kutokua na pamba kali, nimekua nikipokea attention za ajabu kwenye watu wengi.
Wadada walonizidi, watu wazima na wake za watu wakifunguka kunitaka wazi wazi na kuhongwa, nikikataa wanasema naringa na sijiamini.
Walevel zangu nikiwafata hunikataa kwa madai nimuongo siko single. Yupo alowahi niambia mimi mzuri ila nisiringe.
Wapo walionisifia kwa macho, wengine nywele za kisomali, wengine lips, wengine kifua na vitu kibao tofauti.
Waajabu ni wanne walozimika na vidole vya mikono mpaka vikawadoloa.
ila wengi huniogopa kudhani ni player kumbe no.
Swali!
Handsome anasifa zipi?
Kwanini wadada mnaogopa wakaka wenye muonekano mzuri?
View attachment 639444
Bila kusahau bado sina kazi naganga njaa, mana siamini katika msingi kiuno.
hume nenaMwanaume handsome ni mwenye bank account ambayo ni obese.
Kama kucha zenyewe ndio hizo tena umezipaka na rangi nina wasiwasi na we we aiseeBinafsi sielewi,