Je mwanamke anayenyonyesha anaweza kupata ujauzito?

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
Ndugu wadau mwanamke anayenyonyesha anaweza akapata ujauzito? Maana kuna watu wanasema kunyonyesha ni moja ya kinga ya ujauzito. Je ni Kweli?
 
Ndugu wadau mwanamke anayenyonyesha anaweza akapata ujauzito? Maana kuna watu wanasema kunyonyesha ni moja ya kinga ya ujauzito. Je ni Kweli?
Ndio anaweza pata ujauzito.

Ushuhuda wa hili
Soma hapa: Ana mtoto wa miezi mitatu, pia anaujauzito wa wiki tatu
na hapa: je ni madhara gani anaweza kupata mtoto anayenyonya maziwa ya mama ambaye ni mjamzito?

Nini cha kufanya.
Fika hospitali mapema iwezekanavyo ili mpate elimu ya njia ipi salama ya kujikinga na ujauzito usiotarajiwa.
 
Back
Top Bottom