Je?mwanamke anapaswa kutunzwa hata kama ana kipato?

hakwaziki mtu hapo.....

Tall watoto wadogo huwa ni weupe weupe hata wazazi wakiwa wausi kama ukuta wa jiko, sema baadae rangi hubadilika

fyi: Mimi si mweusi kivile sema tu labda hapo picha imenitoa kiivo, hata bala sio blackie, kwa hiyo hakuna aliyeiba wala kuibiwa!!!!
ok,nimeelewa samahani.
 
unajiskia mwanaume kamili pale unaposimamia maisha ya mke wako na familia yako kwa jumla bana, muache mke wako ,hela zake akanunulie lipstiki na vi night dress ambavyo vitakupatia hasira za mechi! kama mshahara hauruhusu ndio inabidi demu akupige jeki, lakini sio dume zima kutegemea kusaidiwa na mdada.(hapa greti thinka niko veri sirias)

Thank you!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom