Mchumiajuone
Member
- Dec 15, 2016
- 66
- 33
Kwa mtu ambaye Ali opt cs je na last delivery and ni miaka saba anaweza zaa kawaida?Uwezekano wa kujifungua kwa njia ya kawaida ni mdogo.....
Kwan tatizo ilikuwa nini hadi ajifungue kwa op
Inategemea na mazoezi aliyofanya na anayofanya....Kwa mtu ambaye Ali opt cs je na last delivery and ni miaka saba anaweza zaa kawaida?
Anaweza, endapo njia na mtoto viko within normal rangesKwa mtu ambaye Ali opt cs je na last delivery and ni miaka saba anaweza zaa kawaida?
ExactlyPole sana mkuu! Shida kubwa inayoweza kutokea ikiwa atajifungua kwa njia ya kawaida sasa hivi (Trial of Labour after Caesarean Section au TOLAC) ni mfuko wake wa uzazi (uterus) kupasuka (uterine rupture), ambacho kinaweza kuleta tabu kwake au kwa mtoto. Na bahati mbaya centres zetu nyingine nyingi hazina uwezo wa kuhandle complications,na ndio maana mara nyingi wanapendelea mtu aliyejifungua kwa upasuaji hata ikiwa mara moja, basi ajifungue kwa upasuaji hadi mwishoni, na ikibidi kuwa otherwise, kwa maana ya kujifungua kwa njia ya kawaida baada ya kujifungua kwa upasuaji (vaginal delivery following a previous Caesarean delivery) basi wanapenda kuwe na Consultant Obstetrician kwa ajili ya kutoa msaada na kuintervene iwapo complications zitatokea. Na zaidi, centres nyingi hupenda kumfunga kizazi (hysterectomy) mtu aliyejifungua zaidi ya mara 3 kwa upasuaji kwa kuhofia suala hilo hilo la uterine rupture.
Thanks kwa jibu..Inategemea na mazoezi aliyofanya na anayofanya....
Kwa uhakika zaidi aende hosp
Ok, Asante Sana....Anaweza, endapo njia na mtoto viko within normal ranges
Wooow... I'm impressed... Mama yako atakuwa sio mtu wa sport sport... Ni full mkakamavu eeh...kwa kipindi hiki ni ngumu.ingawa mama yangu alijifingua kwa Op mara 2 kisha kawaida mapacha mara 3.
Why unasema kipindi hiki ni kigumu?kwa kipindi hiki ni ngumu.ingawa mama yangu alijifingua kwa Op mara 2 kisha kawaida mapacha mara 3.
Mkuu ukweli kwa kipindi hiki ukubali kuweka rehani uhai,kwa uvivu wa mkunga anakizuwia kusukuma kwa wakati kitakacho tokea hapo afadhali ya fistula inatibika!Why unasema kipindi hiki ni kigumu?
Duuh hapo kweli vinginevyo ulipie fast track au private hospital labda waeza pata huduma nzuri ukiwa chini ya uangalizi wa gynecologistMkuu ukweli kwa kipindi hiki ukubali kuweka rehani uhai,kwa uvivu wa mkunga anakizuwia kusukuma kwa wakati kitakacho tokea hapo afadhali ya fistula inatibika!
Aisee! 2 previous scars, multiple pregnancy tayari ningekuwa na indication za kutosha kufanya C-section. Ilikuwa too risky kusubiri SVDkwa kipindi hiki ni ngumu.ingawa mama yangu alijifingua kwa Op mara 2 kisha kawaida mapacha mara 3.
Nashukuru mkuu.Pole sana mkuu! Shida kubwa inayoweza kutokea ikiwa atajifungua kwa njia ya kawaida sasa hivi (Trial of Labour after Caesarean Section au TOLAC) ni mfuko wake wa uzazi (uterus) kupasuka (uterine rupture), ambacho kinaweza kuleta tabu kwake au kwa mtoto. Na bahati mbaya centres zetu nyingine nyingi hazina uwezo wa kuhandle complications,na ndio maana mara nyingi wanapendelea mtu aliyejifungua kwa upasuaji hata ikiwa mara moja, basi ajifungue kwa upasuaji hadi mwishoni, na ikibidi kuwa otherwise, kwa maana ya kujifungua kwa njia ya kawaida baada ya kujifungua kwa upasuaji (vaginal delivery following a previous Caesarean delivery) basi wanapenda kuwe na Consultant Obstetrician kwa ajili ya kutoa msaada na kuintervene iwapo complications zitatokea. Na zaidi, centres nyingi hupenda kumfunga kizazi (hysterectomy) mtu aliyejifungua zaidi ya mara 3 kwa upasuaji kwa kuhofia suala hilo hilo la uterine rupture.
"Once Caesarean section always Caesarean section" ni policy ya kizamani na imeshapitwa na wakati Mama aliyepasuliwa anaweza kuzaa kawaida endapo tatizo lilimfanya apasuliwe awali halitajirudia ktk mimba ijayo na kama atakaa miaka 2 na zaidi kabla ya mimba nyingine!mara nyingi wakina mama waliofanyiwa upasuaji kwa shida ya mtoto km Fetal distress mlalo mbaya wa mtoto au aliyeafanyiwa surgery kwa ajili ya kifafa cha mimba ana chance ya kujifungua kawaida kwenye mimba zijazo unless km tatizo la awali litajirudia mama pekee ambaye aruhusiwi kwa Trial of labor ni kama ana nyonga ya kiume (Android pelvis)inayompelekea kupata CPD na baadae Uchungu pingamizi au Mama matatizo ya moyo au aliyepata Fistula katika mimba iliyopita nk.Lastly Hysterectomy maana yake ni kuondoa kizazi si kufunga kizazi,kufunga kizazi kunaitwa Tubal ligation inafanywa kwa mama anayependa kukamilisha uzazi au Mama aliyefanyiwa C/S zaidi ya 3 ambaye kuendelea na uzazi kunaweza kuhatarisha maisha yake!Pole sana mkuu! Shida kubwa inayoweza kutokea ikiwa atajifungua kwa njia ya kawaida sasa hivi (Trial of Labour after Caesarean Section au TOLAC) ni mfuko wake wa uzazi (uterus) kupasuka (uterine rupture), ambacho kinaweza kuleta tabu kwake au kwa mtoto. Na bahati mbaya centres zetu nyingine nyingi hazina uwezo wa kuhandle complications,na ndio maana mara nyingi wanapendelea mtu aliyejifungua kwa upasuaji hata ikiwa mara moja, basi ajifungue kwa upasuaji hadi mwishoni, na ikibidi kuwa otherwise, kwa maana ya kujifungua kwa njia ya kawaida baada ya kujifungua kwa upasuaji (vaginal delivery following a previous Caesarean delivery) basi wanapenda kuwe na Consultant Obstetrician kwa ajili ya kutoa msaada na kuintervene iwapo complications zitatokea. Na zaidi, centres nyingi hupenda kumfunga kizazi (hysterectomy) mtu aliyejifungua zaidi ya mara 3 kwa upasuaji kwa kuhofia suala hilo hilo la uterine rupture.