Je, Mungu yupo bado na CHADEMA?

Je, Mungu yupo bado na CHADEMA?

Wandugu hakuna kipindi nilichoumia kama kipindi hiki ambacho kimefanya hawa makamanda wetu kututosa. Nakubali wafuasi na wanachama wengi kupitia migongo yao wameshatimua zao wengine aidha kwa kufuata ushawishi wao au wengine kuchukua maamuzi binafsi baada ya kuona mgombea wetu ni BOMU LINALOSUBILI KUPASUKA. Mpaka sasa ni kama tupo ndotoni hatuelewi hivi Mbowe tamaa hii ya pesa ndio kweli imekufanya uuze chama.??? Miaka yote ya mapambano imepitea bure badala ya kwenda mbele tumerudi nyuuuuma kuanza na zero. Hivi kweli Mbowe. Hivi kwa hali yoyote uchaguzi huu hatuwezi kushinda kamwe. Lakini sasa embu tujipange baada ya uchaguzi Mbowe utatuambia nini kwa sababu wewe ndio mastermind wa hili dili lote. Mkae tayari. Nadhani hata ikiwezekana baada tu ya uchaguzi itabidi mkae mbali na ofisi msiingie tutaweka makufuli yetu na tutamtaka kila mmoja ajieleze alishiriki vipi kuwaleta mafisadi kabla ya kuruhusiwa kuingia ofisini. Msidhani siasa ni mchezo wa kitoto. Tutawaomba viongozi wa vyama vingine watimue zao na ilani zao hatuzitaki. Duni utarudi kwenu hatukuhitaji na hapo ndio sasa itazaliwa CHADEMA ASILIA. Mbatia utafute pa kwenda naona sasa kwako kunaendelea kupasuka unajifanya unatetea ukawa. Uongo mtupu. Uchumiaji tumbo tuu kama hujatumwa.

Nipe namba yako ya tigopesa nikupe ya bia/soda...umeongea ki GT, sio kimahaba niwachache wanaoliona hili.

Usiku mwema
 
Hayo uliyoandika yalisemwa na dr Slaa siyo Lowasa mbona unageuza akili kuwa njia ya uzazi -ke
 
huyo jamaa humjui wewe. yeye ndio mtanzania mwenye njaa kali kushinda wote tanzania. tatizo lake sio misosi, la hasha, ni kuwa jamaa hashibi. njaa yake kama ya kulogwa

Lowasa ndiye rais wetu sisi watanzania wenye uchungu na nchi yetu
 
huyo jamaa humjui wewe. yeye ndio mtanzania mwenye njaa kali kushinda wote tanzania. tatizo lake sio misosi, la hasha, ni kuwa jamaa hashibi. njaa yake kama ya kulogwa

Lowasa ndiye rais wa JMT
 
wakuu wa wilaya wote hao awapate wapi? subutu!

walimdanganya wanakuja wakaingia mitini. nani na akili yake atataka aende kwenye mapambano ya kisiasa kama haya na mtu ambaye afya yake dhahiri shahiri inaonyesha haiko sawa na pia uadilifu wake ni wa kuunga unga?

Lofa mkubwa wewe,wewe unajijuaje kama afya yako ni mzima?2-2
 
Mimi gamba???
Sasa kama mimi nitakuwa gamba wewe labda utakuwa ngozi yenye ukurutu. Badala ya kuongea facts kwa maslahi ya nchi unaongea matusi kwa faida yako mwenyewe. Utakuwa unafaidika na mfumo wa Lowasa wewe si bure.
Nadhani nyinyi ndio mlimuingiza Mbowe kamanda wetu mkenge kwa vihela vyenu mbuzi. Hamtafanikiwa hata mtumie nguvu ya pesa kiasi gani. Quote me

Gamba mkubwa wahedi wewe,unajidai una uchungu na nchi hii wakati nyinyi ndio mnaifirisi kwa kuiba fedha za epa,escrow,pembe za ndovu na kuwauzia watoto wetu madawa ya kulevya alafu unajidai unauchungu na nchi hii?mwaka huu imekula kwenu maana hakuna mtu wa kuichagua ccm,watu woote ni kwa lowasa
 
Back
Top Bottom