manga mseke
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 470
- 90
Mzee Lowassa alisema ataambatana na wenyeviti vya mikoa 22 wakuu wa wilaya 80 makatibu wa wilaya 96 wabunge 50 sasa najiuliza hawa wote wangelifatana na Lowasa kweli ndani ya CHADEMA kungekalika?
Na Lowassa kama ikatokea kachukua nchi, Je hawa wote si atalazimika kuapachika serkalini ili kuapoza?
Na je wale ambao walioipigania CHADEMA toka mwanzo watakubali kuja kwa watu hao alafu wawakoseshe ulaji kwa chama walicokipigania kwa miaka mingi?
Je huko majimboni si moto utawaka kila siku kwa kugombea uongozi kama CCM?
Na je serkali ambayo ataunda bwana Lowassa itakuanatofauti na CCM?
Kwa sababu sura nyingi zitakua ni zilezile tu
Mungu tuepushe na balaa hili la shetani huyu Lowassa asije kuapa nchi marafiki zake wenye tamaa ya kufilisi nchi kama walivyo fanya wakia ndani ya CCM amen