Swali la msingi ni hili.hapa umenielewesha kuwa pamoja na kuweka definition ya automaton umeshindwa kujua umeweka nini. vyote ulivyoviweka hapa haviusiani na mambo ambayo mwanadamu ANAYAFANYA kwa sababu kawa PROGRAMMED na Mungu. tunapozungumzia automation hapa tunazungumzia the mind that pushes a man to CHOOSE. those faculties ambazo umezitaja hapo hazihusiani na power of choice in what is available to that man.
sasa kwa sababu umeshindwa hata kung'amua automaton ni kitu gani pamoja na kuisoma kote huko, nilikwambia huko nyuma wewe huna uwezo hata wa kugundua hata pale nitakapokuthibitishia kuwa Mungu yupo. Akili hiyo huna. unazunguka tu na realm yako iliyofungiwa kwenye logic ulizojifunza kwa kusikia kilichotokea ndani ya hii miaka 6000 ya uwepo wa dunia wakati Mungu amekuwepo tu from the eternity.
ungejua kuwa anaowaumba wana power ya kuchagua chochote within their reach katika hii miniature scenario ungefahamu kuwa Mungu si wa kulazimisha vitu vifanya kama anavyotaka ingawa anaweka matokeo ya kufanya uchaguzi huo. na hiyo ni kanuni yake ambayo hata yeye mwenyewe haivunji.
we unanichosha tu. hujui unachozungumza unaleta usiyoyajua hapa.
Swali la msingi ni hili.
Mungu alishindwa kuumba dunia ambayo watu wana uwezo wa kuchagua, lakini haina matetemeko ya ardhi?
Uwezo wa mtu kuchagua mazuri na mabaya hauna uhusiano wowote na majanga ya asili kama matetemeko ya ardhi.
Kwanini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na matetemeko ya ardhi yanayoua na kuzika watoto wachanga wasio na hatia? Kwa nini kaumba hivyo wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi hayawezi kutokea?
Hujajibu swali hili.
Unaelewa kwamba hujajibu swali nililokuuliza na kama kuna swali umejibu sijauliza?Sasa unaanza kuwa na nuru.
Bwana asema hivi katika Mwanzo 3:17 Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;
Hebu tafakari hayo labda utapata kitu.
Kwanini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na matetemeko ya ardhi yanayoua na kuzika watoto wachanga wasio na hatia? Kwa nini kaumba hivyo wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi hayawezi kutokea?Ungeweza pia kuanza na Mwanzo 1:1 ungepata picha kamili.
Sikujibu mpaka useme umeelewa nini Mwanzo 3:17.Kwanini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na matetemeko ya ardhi yanayoua na kuzika watoto wachanga wasio na hatia? Kwa nini kaumba hivyo wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi hayawezi kutokea?
Hujajibu swali hili.
Sikujibu mpaka useme umeelewa nini Mwanzo 3:17.
Contradiction ya maneno haya ndiyo huzidi kuniondolea kabisa imani dhidi ya hivi vitabu vyenu vya imani.Yaani unasema Mungu wako hukaa kwenye sehemu za siri na si sehemu za wazi.At the same time tunahubiriwa kuwa Mungu yuko mahala pote.Ama hizo public places haziko miongoni mwa mahala pote!?Mungu ninaye muelewa Mimi, He dwells in Secret places, sio kwenye public places kama huyo wa kwenu..
Contradiction ya maneno haya ndiyo huzidi kuniondolea kabisa imani dhidi ya hivi vitabu vyenu vya imani.Yaani unasema Mungu wako hukaa kwenye sehemu za siri na si sehemu za wazi.At the same time tunahubiriwa kuwa Mungu yuko mahala pote.Ama hizo public places haziko miongoni mwa mahala pote!?Mungu ninaye muelewa Mimi, He dwells in Secret places, sio kwenye public places kama huyo wa kwenu..
Huyo Mungu anayekaa sehemu ya siri kamuibia nani mpaka ajifiche?Contradiction ya maneno haya ndiyo huzidi kuniondolea kabisa imani dhidi ya hivi vitabu vyenu vya imani.Yaani unasema Mungu wako hukaa kwenye sehemu za siri na si sehemu za wazi.At the same time tunahubiriwa kuwa Mungu yuko mahala pote.Ama hizo public places haziko miongoni mwa mahala pote!?
1.Hujathibitisha Mungu yupo. Kama unafikiri umethibitisha nipe sehemu na numuu wapi umethibitisha.Hakuna swali nmeshindwa kujibu mkuu, kama habari za kumthibitisha Mungu tenga Muda ni siku moja tu hutokaa kuuliza upuuzi tena. Kuhusu ufahamiu wa Mungu, nmesema hakuna awezaye kuthubutu kueleza zaidi ya kushangazwa,
Alikuwa wapiDuh!.....Kiranga amefufuka tena!!
Mrifikiri kafamakubwa kiranga karudi
Kwanza je, unakubali kwamba dunia iliumbwa na Mwenyezi Mungu?Unaelewa kwamba hujajibu swali nililokuuliza na kama kuna swali umejibu sijauliza?
Nimekuuliza hivi.
Kwanini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na matetemeko ya ardhi yanayoua na kuzika watoto wachanga wasio na hatia? Kwa nini kaumba hivyo wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi hayawezi kutokea?
Hujajibu swali hili.
Swali lenye kueleweka lirahisi mno jibuni sasaMungu aliweza au alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na shetani au uovu wowote?
Huyu huyu mungu was kusahau hebu niambie hapa kituko cha wana wa srael na mungu wao wa kusahau mpaka akakumbushwa na musa eti akumbuke agano alilowaapia ibrahimu na isaka soma hapaMaswali yako yote yanajibika, hasa hilo la kumthibitisha Mungu. Yapo yasio jibika ila hilo lina majibu Mengi sana. Nakushauri jifunze taratibu tabia za Mungu na zimeainishwa wazi kupitia vitabu vitakatifu, acha kupinga uepo wa Mungu na kazi zake .. sisi ni wanadamu tu. Mapepo wanekiri uwepo wa Mungu itakua wew mwanadamu?
Mkuu pole na misumbuko ya kila siku.Mimisiku zote niko na R.I.P tu mkuu.
Hapa sasa hivi nimetoka kumpiga mtu wangu $400 ambayo hajaitegemea Bongo usawa wa Magufuli. Basi kafuraaaahi.
Na akifurahi mimi na R.I.P sana huku viwanjani.
Sasa atathibitishaje kitu ambacho anaamini hakipo!?.Nyinyi mnaoamini kipo ndiyo mnapaswa kuthibitisha uwepo wa Mungu.Mi namwelewa sana Kiranga.Hivi Kiranga amewahi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo? Kuna ushahidi aliokuja nao kuthibitisha kwamba Mungu hayupo? Au ni dhana ile ile iliyozoeleka ya kuzunguka mbuyu!
Kwa nini nikubali?Kwanza je, unakubali kwamba dunia iliumbwa na Mwenyezi Mungu?