Hujatibitisha kwamba mungu yupo.Chanzo? Chanzo cha nini!? Wapi kiranga niliposema nini chanzo cha uwepo wako wewe?
Nguvu iliyo behind something... ndio chanzo? Wapi niliposema nimegundua kuna ukomo?
Mungu wako wangapi?
Ndio, complexity... na kama unafikiri ipo...go find what that is...hutaki kutafuta basi... Unataka nani akutafutie?
Na ni maswali/utambuzi gani huo wako unaotaka kujibiwa? Unataka ni respect utambuzi wako wa kwamba "Mungu" hayupo, alafu unataka nikujibu maswali yako kuhusu quest yangu!? Wapi nimesema ku respect utambuzi ni kujibu maswali? Mimi sijakuhubiria, kama hupati majibu yanayokutosheleza, unaona watu hawana majibu, ok, its your prerogative to go and search... Unataka nani akutafutie!? Please go use another search engine.
Kujua kitu na uthibitisho wa hicho kitu kuna husiana vp?Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
To the contrary.
Huwezi kuthibitishiwa kile ambacho unakijua, kwa sababu unakijua tayari, huhitaji uthibitisho.
Unachohitaji uthibitisho wake ni kile usichokijua.
Uhusiano wa kujua kitu na kukithibitisha ni kwamba huwezi kuthibitisha usichokijua.Kujua kitu na uthibitisho wa hicho kitu kuna husiana vp?
Ina maana kila tunachokijua kipo na ndiyo maana haitaji kuthibitishiwa? Unaanzaje kumthibitishia mtu kitu ambacho hakijui?na ndiyo maana ulikuwa unauliza chanzo cha mungu ambaye unasema hayupo
Kwa hiyo vyote tunavyovijua vipo hivyo haitaji uthibitisho?Uhusiano wa kujua kitu na kukithibitisha ni kwamba huwezi kuthibitisha usichokijua.
Utahitaji vipi kuthibitishiwa kwamba wewe ni wewe wakati tayari unajua kwamba wewe ni wewe?
Unamthibitishia mtu kitu ambacho hakijui kwa kuanza kwenye anachokijua.
Nauliza chanzo cha mungu ambaye hayupo in a Socratic dialogue kuonyesha kwamba hayupo. Mpaka sasa hujathibitisha kwamba yupo.
Thibitisha mungu yupo.
Yesu uliyemwona anafanana na wale waigizaji akina Brian Decon au yeye yupo tofauti?Narudia kukwambia, nimekuthibishia Mungu yupo, tatizo lake wewe ni kipofu; huelewi ninachoandika.
Hata nikikuthibitishia kwa vitendo , bado hautaweza kuamini. Mimi ni shuhuda wa mambo mengi ya ufalme wa Mungu.
1. Nimenusurika kufa mara nyingi sana lakini kwa nguvu za Mungu nipo salama. Labda Nitoe mfano mmoja, nilitekwa na Magaidi unaowasikia wanachinja watu , zaidi ya mara 2
2. Nimewahi kumuona Yesu Kristu mara tatu. Na kila siku namuona kwa kupitia visions. Ninazo taarifa nyingi sana za Ufalme wa Mungu ambazo ni ngeni masikioni mwa watu.
3. Nimewahi kumuona MWALIMU NYERERE mara moja baada ya kifo chake (2015) ; Ninaelewa vitu vingi sana kuhusu Taifa hili na siri zake ambavyo ni vigeni masikioni mwa watu. Na ni vya ukweli mtupu.
Kiufupi, I am the genuine witness of the Kingdom of God. His time is my time.
Nimependa sana hili jibu lako mkuu......Chanzo? Chanzo cha nini!? Wapi kiranga niliposema nini chanzo cha uwepo wako wewe?
Nguvu iliyo behind something... ndio chanzo? Wapi niliposema nimegundua kuna ukomo?
Mungu wako wangapi?
Ndio, complexity... na kama unafikiri ipo...go find what that is...hutaki kutafuta basi... Unataka nani akutafutie?
Na ni maswali/utambuzi gani huo wako unaotaka kujibiwa? Unataka ni respect utambuzi wako wa kwamba "Mungu" hayupo, alafu unataka nikujibu maswali yako kuhusu quest yangu!? Wapi nimesema ku respect utambuzi ni kujibu maswali? Mimi sijakuhubiria, kama hupati majibu yanayokutosheleza, unaona watu hawana majibu, ok, its your prerogative to go and search... Unataka nani akutafutie!? Please go use another search engine.
Unarudirudia maneno ka santuri ya 1960 ilionasa Sindano.Hujatibitisha kwamba mungu yupo.
Narudia kwa sababu hujathibitisha.Unarudirudia maneno ka santuri ya 1960 ilionasa Sindano.
Huna jipya zaidi ya hili?
Unaweza kuniambia ni kwa nini wenye kusema kuna mungu huitwa waamini mungu?Narudia kwa sababu hujathibitisha.
Thibitisha uone kama nitarudia.
Ukweli kwamba hamuwezi kuthibitisha uwepo wa mungu au kutatua matatizo ya logical consistency katika uwepo wa huyo mungu unaonyesha kwamba hayupo.
Mungu huyu ni hadithi tu ya kutungwa na hayupo kiuhalisi.
Kwa sababu wanaamini.Unaweza kuniambia ni kwa nini wenye kusema kuna mungu huitwa waamini mungu?
Nimepindisha wapi? Kivipi? Kwa nyuzi ngapi?Hapa mada ni ipi? Mbona kiranga umepindisha?
Jamaa kauliza MUNGU NI YULE YULE? hajataka uthibitisho wa kuwepo au kutokuwepo.Nimepindisha wapi? Kivipi? Kwa nyuzi ngapi?
Umetumia kipimo gani kujua hilo?
Jamaa kauliza nyimbo za Msondo na Sikinde zina rangi ile ile?Jamaa kauliza MUNGU NI YULE YULE? hajataka uthibitisho wa kuwepo au kutokuwepo.
Yeye hadi kuuliza hivyo tayari ashajua yupo
Hahaahahaa hapo bora kuanza mwanzo kabisa.... Kujua yupo au hayupo... Lkn kiranga haunahaja ya ku kompliketisha uwepo wake maana hiyo ni issue ya iman sio siasa wala sayansiJamaa kauliza nyimbo za Msondo na Sikinde zina rangi ile ile?
Utamjibuje?
Utakubali nyimbo zina rangi au utamwambia nyimbo hazina rangi?
Sijakataa kwamba ni imani.Hahaahahaa hapo bora kuanza mwanzo kabisa.... Kujua yupo au hayupo... Lkn kiranga haunahaja ya ku kompliketisha uwepo wake maana hiyo ni issue ya iman sio siasa wala sayansi
Kwa mujibu wa maelezo ni kwamba kuna kuamini vya kweli na visivyo kwa kweli, nakubaliana na wewe kwa hilo. Sasa naomba mfano japo mmoja wa jambo ambalo watu wanaliamini na ni la kweli.Kwa sababu wanaamini.
Unaruhusiwa kuamini chochote, hata kile ambacho si kweli.
Ukianza kusema ni cha kweli tu, umeshaalika maswali na kujiondolea leseni yako ya kuamini bila kuulizwa.
Imani ni nini na akili ni nini?Naona mnabishana sana ila inabd mfahamu hv mambo ya mungu hupimwa na iman na sio akl.
Nnachokiona hapa kuna ukdhan Wa vtu viwili kat ya akili na iman