Je, Mungu ametusahau watanzania? Jibu ni hapana.
Baada ya kila neno kusemwa na kila lililosemwa kutimia basi ndio utukufu wa Mungu utakapo shuka Kwa Watanzania. Watanzania ni watu wakarimu Sana na niwatu wasio weza kujipambania pale wanaitaji Lao la msingi. Niwatu wasio penda fujo na ghasia na niwatu watii hata ukiwatukana. Mungu anataka kuliponya Taifa na ili atuponye yapo mambo hayanabudi yatokee ili ajidhihirishe.
Kama kuna Jambo nawahusia wenye mamlaka kulitekeleza Kwa mioyo Yao yote basi nikuwaheshimu na kuwapenda watu wao.
Mungu anashuka anashuka kujilipizia kisasi Kwa niaba ya wale wasio weza kujilipizia kisasi. Anasema basi mkae mkitambuwa kisasi ni Juu Yangu Asema Bwana wa Majeshi.
Amen