Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,616
- 14,103
sema swali ni zuri sana,, ila ngoja wajuvi waje wakujibuKwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.
Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.
Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.
Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?
Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.
El perdode
Ni kweli kunadhana ya siku moja kwa Mungu ni sawa na miaka elfu moja lakini katika uumbaji utengano wa siku ulifanywa mapema kwakuumba mianga miwili yaani jua na mwezi, hivyo dhana ya miaka elfu sita si sahihi kwa muktadha huo.Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.
Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.
Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.
Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?
Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.
El perdode
Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.

Hizo "siku" sita ni nyakati sita.
Nyakati ni "cycles", umri wa dunia ni mabilions ya miaka, sasa ukigawanya hayo mabilions ya miaka utapa kila nyakati una umri wa bilions kadhaa za miaka.
Katika kila nyakati umbo la dunia lilikuwa likibadilika hadi nyakati ya mwisho (ya 6) dunia ilipochukua sura kamq hii t unayoiona leo, sura ambayo ina mito, maziwa, bahari, Ozone layer, atmosphere, viumbe hai nk,.
Mungu kupumzika katika siku ya 7, maana yake (yawezekana) ni kwamba katika nyakati ya 7 duniani hakukutokea au hakutatokea mabadiliko yoyote yaani Mungu hakufanya commandment yoyote kubadilisha umbo la dunia, Mungu kupumzika haina maana kwamba Mungu alichoshwa na shughuli za uumbaji na akaamua kupumzika, lazima tukumbuke kuwa Mungu ni mkamilifu katika kila hali, hasinzii, halali, hali, hanywi, hachoki nk, tukisema kwamba Mungu alipumzika jinsi tunavyopumzika sisi viumbe vyake basi ipo siku (apishe mbali) wstu watasema Mungu atakufa kama jinsi viumbe wake tunavyokufa. Mungu apishe mbali na atuepushe na fikra mbovu za kumdhalilisha.
Mkuu mbona biblia inaonesha kwamba siku ya nne ndo Mungu aliumba mianga mikuu miwili yaani jua na mwezi pia ndo ishara ya kuonesha vipindi mbalimbali,miaka na siku je kabla ya kuumbwa kwa vitu hivyo hizo siku zilikuwa zinahesabiwa vipi?wakati Mungu kakiri kuwa ndo vitu muhimu katika kuhesabu siku na miakaNi kweli kunadhana ya siku moja kwa Mungu ni sawa na miaka elfu moja lakini katika uumbaji utengano wa siku ulifanywa mapema kwakuumba mianga miwili yaani jua na mwezi, hivyo dhana ya miaka elfu sita si sahihi kwa muktadha huo.
Sasa mkuu biblia inaposema Mungu alipumzika siku ya saba ina maana gani? Maana kulingana na maelezo yako umekataa
Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.
Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.
Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.
Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?
Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.
El perdode
Kuna jamaa walimodify biblia kwa kutumia akilizao nyingi ndo maana tunaona mkanganyiko huu..biblia sio takatifu bali ni TAKA...tifu .....nakumbuka naanza kuisoma mwanzo : mungu aliumba usiku na mchana na nuru...baada ya siku kadhaa likaumbwa Jua ..sasa usiku na mchana utaanza vip haliyakuwa jua halijaumbwa bado..?Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.
Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.
Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.
Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?
Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.
El perdode
Mkuu inaonekana dunia ilikuwa isha umbwa tayali maana kuna vitu vinatajwa kama kiza,maji nkAlikua akiumba hivyo vitu akiwa wapi?
Hapo alipokua paliumbwa na nani?
Mkuu nimeelewa vizuri sana swali lako ila Mimi sijasema kwamba Mungu anaishi mbinguni bali ni biblia yenyewe ndo imesema hivyoMbingu nazo ziliumbwa according to Bible.
Mungu hakai mbinguni , kama anakaa mbinguni je, kabla ya kuziumba alikuwa anaishi wapi?
Je, tukubali kuwa alihamisha makazi alipokuwa anaishi na kuhamia mbinguni?
Nakupa challenge tu hapa ili ufahamu wako uondoe dhana ya kusema Mungu anaishi mbinguni.
Iliumbwa na mungu au naye aliikuta tu?Mkuu inaonekana dunia ilikuwa isha umbwa tayali maana kuna vitu vinatajwa kama kiza,maji nk
Mkuu sasa utakuwa vipi na imani juu ya jambo fulani wakati hujui msingi wake?Mambo ya Imani too complicated ukitaka ujue kila kitu, maana utakosa majibu sahihi ya vyote
Acha nishike tu amri za Mungu na kanisa basi mengine namwachia karisali