Kwamba ni hadithi za abunwasi!?Myth
who knows
Hawa watu Wana ushirikiano mkubwa sana na mashetani( majini) utamkuta mtoto mdogo anazaliwa jini lilishamuingia na kwa kuwa majini dini Yao ndio hiyo hiyo unakuta mtoto anatamka Aya za kitabu hicho wao wanafurahia wanasema " wahay" kumbe ni jini linaongea ndani ya mtotoKatika simulizi hii, inaelezwa kuwa Muhammad alipata tukio la kiroho ambalo baadhi ya watu wanalichukulia kwa mtazamo tofauti.
Inasemekana kuwa awali, aliwahi kuhisi kwamba ndoto alizokuwa nazo huenda zilikuwa na asili ya kutatanisha au isiyoeleweka.
Kwa mujibu wa simulizi lililonukuliwa kutoka katika Hadithi za Sahih al-Bukhari, Muhammad alipokuwa katika pango, alipokea ufunuo wake wa kwanza.
Kiumbe wa kiroho kilijitokeza mbele yake, lakini hakikujitambulisha wala kusema ni nani. Badala yake, kilimwambia, “Soma.”
Muhammad, ambaye inaelezwa kuwa hakuwa msomaji, alijibu, “Siwezi kusoma.” Kiumbe kile kilimkamata na kumbana kwa nguvu hadi akahisi maumivu makali na kushindwa kuvumilia. Kisha kilimuachia na kurudia tena amri ile ile: “Soma.” Hali hii ilijirudia mara kadhaa, hadi mwishowe kiumbe kile kilimuachia na kumtamkia maneno ambayo yanaelezwa kuwa sehemu ya aya za Qur'an.
Baada ya tukio hilo, Muhammad aliondoka pangoni kwa haraka akiwa katika hali ya hofu kubwa, akitetemeka na kutoa jasho jingi. Mishipa ya shingo yake ilionekana kuvimba kutokana na mshtuko alioupata. Alikimbilia kwa mke wake, Khadijah bint Khuwaylid, na kumwambia, “Nisitiri, nisitiri,” akionyesha kuwa alikuwa ameingiwa na hofu kubwa sana. Alihofia huenda kuna jambo lisilo la kawaida linamtokea, au labda anapitia hali ya kiroho isiyoeleweka.
Khadijah alimchukua na kumpeleka kwa binamu yake, Waraqah ibn Nawfal, ambaye alielezwa kuwa na maarifa ya dini. Baada ya kusikiliza tukio hilo, Waraqah alimwambia kuwa huo ulikuwa ufunuo, na kwamba kiumbe kilichomtokea ni malaika Gabriel, ambaye pia aliwahi kuwatokea manabii waliomtangulia kama Moses.
Hata hivyo, simulizi hilo linaendelea kwa kulinganisha na matukio ya maandiko ya Bible, ambapo inaelezwa kuwa mara nyingi malaika wanapowatokea watu, huanza kwa kuwafariji na kuwaondolea hofu kwa maneno kama “usiogope” au “kuwa na amani.” Mfano unatolewa wa Daniel, ambaye alipata maono yaliyomtatiza. Alipomwomba Mungu ufafanuzi, malaika Gabriel alimjia, na ingawa Daniel aliogopa mwanzoni, malaika huyo alimfariji, akamwinua, akampa nguvu, na hata kumwezesha kuzungumza tena.
Kwa kulinganisha matukio hayo mawili, simulizi linaonyesha tofauti kati ya namna Daniel alivyopewa faraja na namna Muhammad alivyoingiwa na hofu kubwa wakati wa tukio lake la kwanza la ufunuo.
Hivyo, mtazamo wa simulizi hili unasisitiza tofauti hiyo kama hoja ya tafsiri ya tukio hilo.
Hawa watu Wana ushirikiano mkubwa sana na mashetani( majini) utamkuta mtoto mdogo anazaliwa jini lilishamuingia na kwa kuwa majini dini Yao ndio hiyo hiyo unakuta mtoto anatamka Aya za kitabu hicho wao wanafurahia wanasema " wahay" kumbe ni jini linaongea ndani ya mtoto
Katika simulizi hii, inaelezwa kuwa Muhammad alipata tukio la kiroho ambalo baadhi ya watu wanalichukulia kwa mtazamo tofauti.
Inasemekana kuwa awali, aliwahi kuhisi kwamba ndoto alizokuwa nazo huenda zilikuwa na asili ya kutatanisha au isiyoeleweka.
Kwa mujibu wa simulizi lililonukuliwa kutoka katika Hadithi za Sahih al-Bukhari, Muhammad alipokuwa katika pango, alipokea ufunuo wake wa kwanza.
Kiumbe wa kiroho kilijitokeza mbele yake, lakini hakikujitambulisha wala kusema ni nani. Badala yake, kilimwambia, “Soma.”
Muhammad, ambaye inaelezwa kuwa hakuwa msomaji, alijibu, “Siwezi kusoma.” Kiumbe kile kilimkamata na kumbana kwa nguvu hadi akahisi maumivu makali na kushindwa kuvumilia. Kisha kilimuachia na kurudia tena amri ile ile: “Soma.” Hali hii ilijirudia mara kadhaa, hadi mwishowe kiumbe kile kilimuachia na kumtamkia maneno ambayo yanaelezwa kuwa sehemu ya aya za Qur'an.
Baada ya tukio hilo, Muhammad aliondoka pangoni kwa haraka akiwa katika hali ya hofu kubwa, akitetemeka na kutoa jasho jingi. Mishipa ya shingo yake ilionekana kuvimba kutokana na mshtuko alioupata. Alikimbilia kwa mke wake, Khadijah bint Khuwaylid, na kumwambia, “Nisitiri, nisitiri,” akionyesha kuwa alikuwa ameingiwa na hofu kubwa sana. Alihofia huenda kuna jambo lisilo la kawaida linamtokea, au labda anapitia hali ya kiroho isiyoeleweka.
Khadijah alimchukua na kumpeleka kwa binamu yake, Waraqah ibn Nawfal, ambaye alielezwa kuwa na maarifa ya dini. Baada ya kusikiliza tukio hilo, Waraqah alimwambia kuwa huo ulikuwa ufunuo, na kwamba kiumbe kilichomtokea ni malaika Gabriel, ambaye pia aliwahi kuwatokea manabii waliomtangulia kama Moses.
Hata hivyo, simulizi hilo linaendelea kwa kulinganisha na matukio ya maandiko ya Bible, ambapo inaelezwa kuwa mara nyingi malaika wanapowatokea watu, huanza kwa kuwafariji na kuwaondolea hofu kwa maneno kama “usiogope” au “kuwa na amani.” Mfano unatolewa wa Daniel, ambaye alipata maono yaliyomtatiza. Alipomwomba Mungu ufafanuzi, malaika Gabriel alimjia, na ingawa Daniel aliogopa mwanzoni, malaika huyo alimfariji, akamwinua, akampa nguvu, na hata kumwezesha kuzungumza tena.
Kwa kulinganisha matukio hayo mawili, simulizi linaonyesha tofauti kati ya namna Daniel alivyopewa faraja na namna Muhammad alivyoingiwa na hofu kubwa wakati wa tukio lake la kwanza la ufunuo.
Hivyo, mtazamo wa simulizi hili unasisitiza tofauti hiyo kama hoja ya tafsiri ya tukio hilo.
URONGO. NI JINI/SHETANI. TUACHE KUSEMA UONGO.Alikutana na Malaika Jibril,
Unaswali lingine Boss?
Nimefuatishia mtiririo wa simulizi yako;
Napata picha pengine Mungu alikusudia kufikisha ujumbe kwa ulimwengu kuwa, kusoma sio kitu kirahisi......Hivyo kubanwa kifua ilikuwa ni Ishara kuwa, maarifa hayapatikani kirahisi rahisi.....Kusoma ni kazi tena kazi ngumu inayohitaji kujitoa na sio blaa blaa kama watu wengine wanavyofikiri.... Kwa muktadha wa masimulizi yako nafikiri alikutana na Malaika....
Unaweza kurudia kusoma ulichoandika?Muddy alikuwa kilaza. Hajui A wala B. Halafu allah akaona Muddy anavyosema hajui kusoma anadanganya? Akamkaba nusra kumuua. Alipoona kweli anataka kata roho na hasomi akaamini jamaa si mwongo. Muddy akatoka pangoni kama kichaa. Mkewe ndo akamwambia ampeleke kwa Mjomba wake mganga. Akamwambia JIBASHIRIE UTUME.
Unaweza kurudia kusoma ulichoandika?
Pengine mtu wa darasa la nne ndiye anaweza kukuelewa.....It doesn't connect....
Alikutana na Malaika Jibril,
Unaswali lingine Boss?
😁Muddy alikuwa kilaza. Hajui A wala B. Halafu allah akaona Muddy anavyosema hajui kusoma anadanganya? Akamkaba nusra kumuua. Alipoona kweli anataka kata roho na hasomi akaamini jamaa si mwongo. Muddy akatoka pangoni kama kichaa. Mkewe ndo akamwambia ampeleke kwa Mjomba wake mganga. Akamwambia JIBASHIRIE UTUME.
Kwenye hadithi inaelezwa kuwa Muhamad baada ya kubanwa koo na baadaye kuachiwa, alipofika kwa mkewe, alimwambia kuwa ametokewa na shetwani aliyembana koo, mkewe alivyomwona ana hofu ndipo alipompeleka kwa binamu yake. Binamu yake ndiye aliyemtoa hofu kuwa yawezekana aliyemtokea ni malaika Jibril, LAKINI Muhamad ambaye ndiye mhusika mkuu, alisema kuwa alitokewa na shetani. Waliompoza baada ya hofu, ndio waliomwambia kuwa yawezekana alikuwa malaika Jibril.
Je, tumwamini mhusika au hao waliotaka kumfariji baada ya hofu?
Thibitisha.Alikutana na Malaika Jibril,
Unaswali lingine Boss?
Suala hili linatia tafakuri sana, na huenda lina uhusiano na tukio la kukutana kwa Muhammad na yule kiumbe wa ajabu iwapo kweli alikuwa malaika au shetani.Hawa watu Wana ushirikiano mkubwa sana na mashetani( majini) utamkuta mtoto mdogo anazaliwa jini lilishamuingia na kwa kuwa majini dini Yao ndio hiyo hiyo unakuta mtoto anatamka Aya za kitabu hicho wao wanafurahia wanasema " wahay" kumbe ni jini linaongea ndani ya mtoto
Kwahiyo malaika/shetani alitaka kutoa roho yake!? Hii ingetokea unadhani dunia ya sasa ingekuwa katika hali gani bila Uislamu!?Akamkaba nusra kumuua.