Alikuwa mmojawapo wa ma-rahisi
watatu waliopita,kasaidia sana kubomoa
Democracy,kagawa vipande vya fedha vya kufa
mtu kule pande za Kanda ya
Ziwa,kura feki na vitisho vingi.
Ndio kinara wa kusema maneno ya
hovyo hata kuwaita wananchi
Malofa, wapumbavu,nk
Nafkiri ni vizuri tukamsubiri huko alikoenda arudi atupe majibu sahihi ya maneno hayo