Je Motorola na Lenovo wana uhusiano?

Je Motorola na Lenovo wana uhusiano?

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
3,095
Reaction score
2,291
ni baada ya kutuma IMEI ya simu yangu ya zamani MOTOROLA L6i , kwenda namba 15090.

Na majibu ni MOTOROLA LLC, LENOVO COMPANY,....kama nilivyoambatanisha, kwenye picha.
 
Attachments

  • wp_ss_20160613_0002.png
    wp_ss_20160613_0002.png
    12.6 KB · Views: 47
  • WP_20160613_18_24_51_Pro.jpg
    WP_20160613_18_24_51_Pro.jpg
    218.9 KB · Views: 37
Lenovo wanamiliki Motorola , ni baada ya kuinunua kutoka kwa kampuni ya google.
 
lenovo pia alinunua part ya IBM inayotengeneza PC na hio Motorola inayotengeneza simu. ipo Motorola nyengine imebakia marekani.
ok i hope laptop zao ni nzuri mno maana IBM ndo baba lao. saiv ntaanza kuchek na computer za lenovo
 
ni baada ya kutuma IMEI ya simu yangu ya zamani MOTOROLA L6i , kwenda namba 15090.

Na majibu ni MOTOROLA LLC, LENOVO COMPANY,....kama nilivyoambatanisha, kwenye picha.
Mkuu napata wapi na mimi hiyo kitu ya Motorola L7 .... Hiyo simu imenikumbusha mchepuko wangu wa Burundi.

Ukipata anayeuza ikiwa katika hali nzuri ANGUKA KWA PM
 
lenovo pia alinunua part ya IBM inayotengeneza PC na hio Motorola inayotengeneza simu. ipo Motorola nyengine imebakia marekani.

Hili nalikumbuka IBM walipouza division ya pc kwa lenovo
 
Motorola mobility ilikua acquired by lenovo 2014
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom