Je Mo ataondoka na Uwanja wa Bunju?

Nimesikitika sana kukosa comments za wale wana simba Kindakindaki ninaowajua hapa jukwaani.

Na ukimya huu ni dhahiri wanajua kitakachotokea ila wanaona aibu kutuambia. :D
Mo ataondoka , hata kama sio leo , ila Simba haitobak mkiwa, anauziwa tajiri mwingine tu

Tunachoma ubani auziwe tajiri wa mafuta kutoka Falme za kiarabu muite maji mma
 
Kumbe mlikuwa huku ndio maana mna maumivu makali sana mnataka na sisi tupitie kama mlivyopitia ninyi
😂😂 uto hovyo sana
 
Tofali zimenunulia kwa michango ya wanachama/wapenzi/mashabiki wa simba kama unakumbuka lile bonanza ambalo uto waliingia mitini
Inaonyesha namna gani team hiyo ya ukoloni haina mipango yaani kama kundi la walevi wa wanzuki
 
Kawatapeli nyie mkuu huoni?
Achana na stori za vibanda umiza. Hivi Mo na Ghalib nani ana record mbaya ya uhujumu uchumi? Hao watu waacheni wameinua kiwango cha ligi yetu hayo mengine tuiachie dola kama wana jinai yoyote watajibu wao sisi tufurahie mchezo uwanjani.
 
Mo Arena Bunju ni Uwanja wa Simba au wa Mo?
Mo Arena, Benjamin Mkapa, Karume, Nelson Mandela, Sokoine na vingine vingi ni viwanja vya watanzania vilivyopewa majina ya watu maarufu nchini, labda sasa ujiulize kama hao wenye majina wanavimiliki au la. Kiwanja pekee ambacho ninafahamu ni cha mtu binafsi ila klabu ilipewa kwa muda bila hati ni cha Kigamboni, ambapo Paul Makonda aliwapa Yanga ila wanaogopa kukiendeleza maana bado Makonda anakimiliki kwa hati yake kabisa
 
Mkuu unajua historia ya uwanja wa Bunju kweli? Unalifahamu sakata la ununuzi wa nyasi bandia na hela yake ilikotoka? Unajua nani alipanunua pale na mwaka gani? Mo alishaanza kuwekeza awamu hii ya sasa?
 
Mo Arena Bunju ni Uwanja wa Simba au wa Mo? Je, Mo akiuza hisa zake ataondoka na uwanja wake?

Maana sio Uwanja wa Simba ni Uwanja wa Mo!

Cc. Mbumbumbu fc
Uwanja wa bunju ulinunuliwa wakati wa Aden rage na mo alikuwa bado yupo singida united.

Kuwa na kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom