Hebu tuwaulize kina lara 1, cacico, King'asti, @FP, snowhite, Lisa, Nivea, Madame B, Mrembo by Nature, Asnam, Kipipi, Smile, ladyfurahia, BADILI TABIA, Binti.com, sister, MadameX, charminglady, Remmy, Elizabeth Dominic, sweetlady FirstLady1, Paloma watatupa uzoefu wao...Na. 4 kuna ukweli kwa wanaume vicheche. Ila mengi umeandika yanayowahusu wanaume; wanawake je!
number 4 wanawake wengi hawaijui kabisa, yeye akipigiwa psiiiiiiiiiiii anajua kwamba karibu wanafika bei, akitongozwa ndo kabisaaa anakuwa na bichwa hiloooooo na kuona amependwa sana kumbe wala ni kusanifiwa tu. Wanawake muamke hii ni karne ya 21 mtaonjwa hadi lini na hawa wapishi kama vile mchuzi wa hitima?
Hebu tuwaulize kina lara 1, cacico, King'asti, @FP, snowhite, Lisa, Nivea, Madame B, Mrembo by Nature, Asnam, Kipipi, Smile, ladyfurahia, BADILI TABIA, Binti.com, sister, MadameX, charminglady, Remmy, Elizabeth Dominic, sweetlady FirstLady1, Paloma watatupa uzoefu wao...
no1 hiyo ni true totally! yani nothing u can feel ,it is like raping vile tena si tendo pekee hufurahii kila kitu chake hata kiwe cha gharama hutoona uthamani wake!
ha ha ha nimecheka mbaya nimekumbuka stori moja loooo
Hebu tuwaulize kina lara 1, cacico, King'asti, @FP, snowhite, Lisa, Nivea, Madame B, Mrembo by Nature, Asnam, Kipipi, Smile, ladyfurahia, BADILI TABIA, Binti.com, sister, MadameX, charminglady, Remmy, Elizabeth Dominic, sweetlady FirstLady1, Paloma watatupa uzoefu wao...
Number 4 wanawake wengi hawaijui kabisa, yeye akipigiwa psiiiiiiiiiiii anajua kwamba karibu wanafika bei, akitongozwa ndo kabisaaa anakuwa na bichwa hiloooooo na kuona amependwa sana kumbe wala ni kusanifiwa tu. Wanawake muamke hii ni karne ya 21 mtaonjwa hadi lini na hawa wapishi kama vile mchuzi wa hitima?