kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,124
- 2,076
- Thread starter
- #41
Popo wa kawaida tuNi popo wa wapi? Unaambiwa wa congo wana ebola
Popo wa kawaida tuNi popo wa wapi? Unaambiwa wa congo wana ebola
Wosia Tena mkuu, Sasa kama kaka yako yupo salama mwaka wa sita inamaana hajapata madhara yoyoteAndika wosia mkuuu ..kakangu alikojolewa hivyo hivyo mwaka huu ni wa 6 tuko naye salama tu.
...
FIGO ZA POPO HAZICHUJI VISUNGURA. WEWE NA POPO NANI MKOJO WAKE UNA HATARI?Muda huu nimekaa sehemu chini ya mti, ghafla naona maji yanadondoka kutoka juu ya mti, yamedondoka kwenye mwili wangu mikononi na kichwani, naangalia juu naona popo mkubwa kumbe alikuwa anakojoa.
Sasa najiuliza, je baada ya mkojo huu kunishukia mwilini je naweza kudhurika Kwa lolote?
Yaweza ikawakojo wa popo una hatari, ndiyomaana nimeuliza ni hatari zipi zinaweza kutokea kiafya au kibimadamuFIGO ZA POPO HAZICHUJI VISUNGURA. WEWE NA POPO NANI MKOJO WAKE UNA HATARI?
FIGO ZA POPO HAZICHUJI VISUNGURA. WEWE NA POPO NANI MKOJO WAKE UNA HATARI?Muda huu nimekaa sehemu chini ya mti, ghafla naona maji yanadondoka kutoka juu ya mti, yamedondoka kwenye mwili wangu mikononi na kichwani, naangalia juu naona popo mkubwa kumbe alikuwa anakojoa.
Sasa najiuliza, je baada ya mkojo huu kunishukia mwilini je naweza kudhurika Kwa lolote?
Acha kukaa chini ya mapagara , punguza stress ndugu , kwani huna dettol hata ya asili ? Ogea hata na mchai chai unukie fresh 🤣Yaweza ikawakojo wa popo una hatari, ndiyomaana nimeuliza ni hatari zipi zinaweza kutokea kiafya au kibimadamu
Nilikaa chini ya mti sio pagara, Sina stress Wala Sina shida ndogondogo..Acha kukaa chini ya mapagara , punguza stress ndugu , kwani huna dettol hata ya asili ? Ogea hata na mchai chai unukie fresh 🤣
Sio kwamba najisifu ila inawezekana hela nilizo nazo ukoo wenu wote mkijichanga hamnifikii.Kaka ukishaanza kudharaulika na wadudu ni muda wa kutoka magetoni ukaforce mambo uwe na hela
Sawa mkuuSio kwamba najisifu ila inawezekana hela nilizo nazo ukoo wenu wote mkijichanga hamnifikii.
Utakuwa mlima mashamba, mvunaji, mbebaji n.k yaani wanaita msukule au kisasa robot, bado hujachelewa kijana wahi haraka tuweke mambo katika mstari.Mkuu mbona unanitisha, kama ni kweli weka wazi hapa ni tatizo Gani naweza kupata