Noah abel thelastborn
Member
- Dec 10, 2025
- 50
- 71
Au black death
Au black death
Ukiwa na HIV/AIDS unaponaMuda huu nimekaa sehemu chini ya mti, ghafla naona maji yanadondoka kutoka juu ya mti, yamedondoka kwenye mwili wangu mikononi na kichwani, naangalia juu naona popo mkubwa kumbe alikuwa anakojoa.
Sasa najiuliza, je baada ya mkojo huu kunishukia mwilini je naweza kudhurika Kwa lolote?
Mimi Sina HIVUkiwa na HIV/AIDS unapona
Hakuna... Ushindwe kabisaImeenda hiyo
Bangi mbichi 🔥😹hiiKwa mujibu wa wahenga “popo mbili zavuka mto ni macho”
Kwahiyo ulivyomuangalia popo aliyejuu aliona ndugu zake wawili wakivuka mto 🔥
Ooh okayMimi Sina HIV
😂😂😂Muda huu nimekaa sehemu chini ya mti, ghafla naona maji yanadondoka kutoka juu ya mti, yamedondoka kwenye mwili wangu mikononi na kichwani, naangalia juu naona popo mkubwa kumbe alikuwa anakojoa.
Sasa najiuliza, je baada ya mkojo huu kunishukia mwilini je naweza kudhurika Kwa lolote?
Acha masihara mkuu, kama unajua madhara ya mkojo wa popo sema na sio kuleta mzahaUngekinga mdomo ukaunywa uku uknena khs mkojo unenepeshe uume na kuongeza nguvu za kiume aisee ungeweza kupga miti vidada vya gen z hata ukifksha miaka 90 nguvu hazpungui umepshana na bahati sn mtafute tn popo huyo akukojolee mdomon umeza kojo lake. Lakn pia pengne walikuwa dume na jike sa jike likapgwa katelero ndo likasaula maji kama yote si unajua shipa la popo bawa NB: KAMA ITAKUWA NI MAJI YA KATELERO WAHI KWNY MAOMBI MAANA UTAFATWA NA POPO BAWA SANA AKDHANI WE NI YULE JIKE..sbb ya harufu uliyonayo kwasasa.
Popo ni viumbe wamaoweza kuwa na virus wa hatari sana. Hata magonjwa mengi ya mlipuko kama ebola au corona kuna nadharia kuwa yalitoka kwa maambukizo ya popo. Hukunawa kwa sabuni sehemu mkojo ulikokupata? Ilitakiwa unawe kwa sababu au kuoga haraka sana. Lakini pia anaweza asiwe alikuwa na magonjwa yoyote.Kuna madhara yoyote naweza kupata mkuu?
Nimeoga Kwa sabuni vizuri kabisa, ila sijahisi muwasho au utofauti wowote mwilini baada ya kidondokewa na ule mkojo wa popo.Popo ni viumbe wamaoweza kuwa na virus wa hatari sana. Hata magonjwa mengi ya mlipuko kama ebola au corona kuna nadharia kuwa yalitoka kwa maambukizo ya popo. Hukunawa kwa sabuni sehemu mkojo ulikokupata? Ilitakiwa unawe kwa sababu au kuoga haraka sana. Lakini pia anaweza asiwe alikuwa na magonjwa yoyote.
hakuna madhara mkuu hao popo tumewahi ishi nao sn enzi hzo wanakojoa uko juu ya paa mkojo unawadondokea, lakn nlitaka kujua ni popo wa kawaida au POPO BAWA? kama ni popo bawa bs hzo ni shahawa zake tu.Acha masihara mkuu, kama unajua madhara ya mkojo wa popo sema na sio kuleta mzaha
Ni popo wa kawaida na nilimuona Kwa macho, hizo stori za popo bawa ni za vijiweni tu mkuu.hakuna madhara mkuu hao popo tumewahi ishi nao sn enzi hzo wanakojoa uko juu ya paa mkojo unawadondokea, lakn nlitaka kujua ni popo wa kawaida au POPO BAWA? kama ni popo bawa bs hzo ni shahawa zake tu.
Sijui, ndo Nini hiyo?Unaijua babonic plague
Ukiwa huna hela hadi kuku watafanya mapenzi mbele yako kisha utatuuliza je utadhurika?Sasa najiuliza, je baada ya mkojo huu kunishukia mwilini je naweza kudhurika Kwa lolote?
Nani Hana hela? Labda weweUkiwa huna hela hadi kuku watafanya mapenzi mbele yako kisha utatuuliza je utadhurika?
Mkuu mbona unanitisha, kama ni kweli weka wazi hapa ni tatizo Gani naweza kupataKijana fanya mpango haraka sana tuwasiliane nikupatie msaada, kunamtu amekupangia mambo ya hovyo anahitaji kukugeuza kitimoto.