Je, katika hali hii mimba inaweza kuwa ya nani?

huyo mwanamke ni malaya....kwakweli kwa muda huo mdogo tu awe ameshatembea na wanume wawili....dah kesi hiyo ni ngumu ata kuaiamua ila kwakifupi huyo mtoto ana mababa wawili...!
 
Yaani siku zote tunaishi naye na alipotoka kuchepuka akarudi nyumbani kwa hiyo inawezekana alipoenda kuchepuka ndipo alipopatia mzigo
 
Back
Top Bottom