Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Mpeleke hosp mkapime utaujua ukweliWakuu salama
Kwanza nawasihi sihitaji matusi,kashfa au kejeli yoyote,huna cha kushauri kaa kimya tu.
Kuna demu alikua na mimba na juzi ilikua siku ya 25
Akatumia misoprostal 200 mg nne ,mwenyewe anasema baada ya kutumia aliumwa tumbo na kutokwa na damu kiasi.
Asubuhi damu ikatoka kidogo kidogo sana na maumivu ya tumbo kiasi.
Leo anasema damu zimekata,je kwa mimba ya siku 25 itakua kweli imetoka kwa hizo damu kidogo manake juzi usiku ndo alitumia akadai zimetoka kiasi za mabonge bonge then zikatoka matone tone hadi Leo zimekata
Wataalam nisaidieni kwa situation hii nliyoielezea ni kweli mimba itakua imetoka au demu ananiletea ujanja ujanja???
Mpeleke hosp mkapime utaujua ukweli
Wataalam wanasema inabidi ipite angalau wiki baada ya kutoa hapo ndo ukweli utajulikana ,manake akipimwa saa hivi HCG bado zitakuwepo ina maana mimba itaonekana zile homoni huwaga zinachelewa kuisha kwenye uterus
Nawaamini sana ila huyu demu mwenyewe ndo mawenge sana mpaka keroSi uwaamini hao wataalam usubiri au wiki ni mbali sana
Hiki ndicho ukweli wenyewe, kiamini hicho tuliza wenge brother.Wataalam wanasema inabidi ipite angalau wiki baada ya kutoa hapo ndo ukweli utajulikana ,manake akipimwa saa hivi HCG bado zitakuwepo ina maana mimba itaonekana zile homoni huwaga zinachelewa kuisha kwenye uterus
Hiki ndicho ukweli wenyewe, kiamini hicho tuliza wenge brother.
Hizi dawa za misoprostol si dawa za kutoa mimba hizi. Na Kwanini katumia wakati anajua ni mjamzito, mlikuwa na nia ya kukafyekeleaaa mbali kababy jamani????, kangekuwa kabunge hako. Itakuwa imetoka ila ni lazima aende hospitali akaangaliwe na pia akasafishwe kuna dawa maalumu atapewa akiacha hivyo hivyo mirija itaziba na ikiziba kwa muda mrefu atapata matatizo ikiwamo na kuharibu kizazi kitakachopelekea kutoa kizazi huko mbeleniWakuu salama
Kwanza nawasihi sihitaji matusi,kashfa au kejeli yoyote,huna cha kushauri kaa kimya tu.
Kuna demu alikua na mimba na juzi ilikua siku ya 25
Akatumia misoprostal 200 mg nne ,mwenyewe anasema baada ya kutumia aliumwa tumbo na kutokwa na damu kiasi.
Asubuhi damu ikatoka kidogo kidogo sana na maumivu ya tumbo kiasi.
Leo anasema damu zimekata,je kwa mimba ya siku 25 itakua kweli imetoka kwa hizo damu kidogo manake juzi usiku ndo alitumia akadai zimetoka kiasi za mabonge bonge then zikatoka matone tone hadi Leo zimekata
Wataalam nisaidieni kwa situation hii nliyoielezea ni kweli mimba itakua imetoka au demu ananiletea ujanja ujanja???
kuna kimoja alitakiwa aanze nacho baada ya siku2 amalizie na vi4Poa mkuu,ujue Mimi aliponiambia katumia zile dawa na kupata bleed nlimwelewa lakini at the end of time mwenyewe hajiamini anasema damu zimekata Leo so anahisi bado mimba ipo,mi nasubiri week nikamchek tena kwenye ultrasound
Ultrasound haitoweza kuonesha ujauzito kama umetoka, njia za kawaida tu, siku 25 ni very early first trimester, hata mimba yenyewe inakuwa ni hicho ulichokiona mabonge bonge ya damu, so probably hicho ulichokiona ndio mimba yenyewe imetoka.Poa mkuu,ujue Mimi aliponiambia katumia zile dawa na kupata bleed nlimwelewa lakini at the end of time mwenyewe hajiamini anasema damu zimekata Leo so anahisi bado mimba ipo,mi nasubiri week nikamchek tena kwenye ultrasound
I think so manake kadri mimba inavyokua kubwa ndivyo wingi wa damu unavyokua mkubwa na maumivu piaUltrasound haitoweza kuonesha ujauzito kama umetoka, njia za kawaida tu, siku 25 ni very early first trimester, hata mimba yenyewe inakuwa ni hicho ulichokiona mabonge bonge ya damu, so probably hicho ulichokiona ndio mimba yenyewe imetoka.
basi ngoja nimuite israel mtoa rohoAcha ukuda jamaa Siro unamuulizia hapa wa nini?
Kadri ukubwa wa mimba ulivyo ndivyo wingi wa damu utakavyokua, ila siyo baada ya abortion mtu anatakiwa aunge na period?
I mean mimba imetoka jana damu imeanza kutoka then imekata ghafla usikute bado ipo na mwisho ni mtazaa mtoto hana kiungo.
PS: Mimi siyo daktari lakini.
PPS: Nchi yetu inasapoti uzazi wa mpango.
Wataalam wanasema inabidi ipite angalau wiki baada ya kutoa hapo ndo ukweli utajulikana ,manake akipimwa saa hivi HCG bado zitakuwepo ina maana mimba itaonekana zile homoni huwaga zinachelewa kuisha kwenye uterus
Upo sahihi mimba huwa ikiwa kubwa ndo utavuja mda mrefu, hapo haujatoa mimba apo maximum angevuja ata siku 6 mpaka 14 ndo ingekuwa imetoka.Kadri ukubwa wa mimba ulivyo ndivyo wingi wa damu utakavyokua, ila siyo baada ya abortion mtu anatakiwa aunge na period?
I mean mimba imetoka jana damu imeanza kutoka then imekata ghafla usikute bado ipo na mwisho ni mtazaa mtoto hana kiungo.
PS: Mimi siyo daktari lakini.
PPS: Nchi yetu inasapoti uzazi wa mpango.