kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,182
- 12,286
Kumbavu weee unataka kumletea mwenzio mikosi ajinyonge.Ibetie mkuu jumapili anacheza man city na man u mpe man u win alafu weka hela yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbavu weee unataka kumletea mwenzio mikosi ajinyonge.Ibetie mkuu jumapili anacheza man city na man u mpe man u win alafu weka hela yote.
Kama una eneo/shamba Jenga Banda tafuta kijana Ajiri kisha Fanya hili wazo kwa vitendo,Kumiliki Pesa maburungutu ni simple sana.BIASHARA NYINGINE NZURI NI YA NG'OMBE
hii biashara bwana inalipa sana asikwambie mtu.
kuna watu wananunua ng'ombe waliokondoena kwa laki 2 mpaka 2.5 kisha wanakuja kuwanenepesha kwa miezi miwili mitatu wanakuja kuwauza laki 5 mpaka zaidi.
OK kumbe namba hiyo ya whatsapp ni ya Uarabuni? Tutakutafuta, tuyajenge.Tembelea UAE kama wiki utembelee sehemu za biashara za kila aina kama ujenzi, phone, spare parts, used computers n.k
Baada utapata idea nyingi za biashara ba majibu mengi ya masuala yako
Kwa maelezo zaidi nitumie whatsapp message
00971527369138