Je, milioni 35 nizi-invest katika biashara ipi kati ya hizi?

Mkuu mi nashauri katika hizo biashara ulizoorodhesha hapo chagua moja kwanza baada ya muda anzisha nyingine na nyingine mpaka utapoona uwezo wako wa kuzisimamia umeisha ama lah hiyo 35 mill zimeisha.

Sishauri kuiweka hiyo pesa yote kwenye biashara moja tu, na mbaya zaidi unakuta ndio mara yako ya kwanza kufanya biashara ya aina hiyo.
 
Mkuu mambo vp. Nilikuwa na maduka ya rejareja mawili . Moja nikaliuwa kutokana na kuugua , na changamoto za Mmiliki wa fremu, by laws za ulinzi , kuharibu kwa mfanyakazi, nikawa nimetaka kubadili biashara na fremu nilikuwa nishapata ila mwenye fremu nilimpa idea yangu nini nataka nifanye hapo , siku ya kulipia kufika nikakuta kaiba plan yangu , nilipanik nikawa nimepeleka hela kwenye ujenzi ambao haukwenda mbali nikajishtukia nimedondokea kwenye hali ngumu sana kiuchumi depression inanitafuna afya inakaa vibaya duka lililobaki lina mtaji unaozunguka 6.7M ila lina mfanyakazi anafanya vizuri sana wateja wamemzoea na anajituma sana, kiasi kwamba nakuwa na mashaka ukimtoa lazima duka liyumbe kwanza kutokana na kuzoeleka kwake na uwezo wake kwenye competition, sasa nipo tu sina ishu yoyote nikitegemea tena duka kuishi hilo moja jambo nisilolipenda natamani kuajiriwa angalau faida ninayozalisha dukani ikae benki nije nifungue biashara nyingine na sio mimi kuitumia
Na pia sijazoea kukaa free nimepona sasa natamani kazi yoyote ile itakayonipa kula na matumizi mengine, nakusave hata kidogo ili niweze kurudi kwenye hali yangu kiuchumi nahitaji nitoke dar mwenye nafasi yoyote ya kazi mimi ni mpambanaji huwa sijali ndio maana siwezi kukaa bila kazi . Naugua nikikaa hivi
 
Maisha hayaa...duuuuuh
 
Vp kama nikitumbukia ninunue hata ardhi au nikodishe then nilime mpunga wa kutosha...mengine niyatunze..mengine nisambaze mwenyewe...mikoani? Hhii si itanitoa
Pima Uzito wako kisha note pembeni

Pima Presha yako kisha note pembeni

Then fanya hicho unachokitaka then ukishaanza tu kukifanya Uwe una Pima tena Presha na Uzito.

Uone kama itatokea hata siku 1 ukawa na majibu kama yale ya siku ya kwanza unapima uzito au presha.

Yani unalima wakati uhakika wa Mvua mpaka Malaika muachilia mvua ajiskie kutunyeshea ndio mvua inyeshe..

Shauri lako boss... unakoelekea sasa napaona...

Kama kote hupawezi ingia chimbo kanunue Dhahabu za hiyo hela ako then kafiche ndani Fanya mishe zingine.. Ikifika 2030 kauze mzigo wako...

or else deal with dollar dollar cheza na rate tu ikishuka tu nunua mzigo wowote then tegea ikipanda tu una uza... Bingo!

Sema nini,kama hadi leo hujapata ulichokua unatafuta Mkuuu acha hela ikae huko benki sio lazima uifanyie kitu wakati mwingine mawazo ya biashara yanakuja wakati ambao si sahihi.

nimeanza kuhisi kuwa huu si wakati wako sahihi wa kuanza biashara so fanya kama unakula Pause hivi then endelea na mishe zako zingine zilizokupa hyo 35m.
 
Mkuu mambo vp. Nilikuwa na maduka ya rejareja mawili . Moja nikaliuwa kutokana na kuugua , na changamoto za Mmiliki wa fremu, by laws za ulinzi , kuharibu kwa mfanyakazi, nikawa nimetaka kubadili biashara na fremu nilikuwa nishapata ila mwenye fremu nilimpa idea yangu nini nataka nifanye hapo , siku ya kulipia kufika nikakuta kaiba plan yangu , nilipanik nikawa nimepeleka hela kwenye ujenzi ambao haukwenda mbali nikajishtukia nimedondokea kwenye hali ngumu sana kiuchumi depression inanitafuna afya inakaa vibaya duka lililobaki lina mtaji unaozunguka 6.7M ila lina mfanyakazi anafanya vizuri sana wateja wamemzoea na anajituma sana, kiasi kwamba nakuwa na mashaka ukimtoa lazima duka liyumbe kwanza kutokana na kuzoeleka kwake na uwezo wake kwenye competition, sasa nipo tu sina ishu yoyote nikitegemea tena duka kuishi hilo moja jambo nisilolipenda natamani kuajiriwa angalau faida ninayozalisha dukani ikae benki nije nifungue biashara nyingine na sio mimi kuitumia
Na pia sijazoea kukaa free nimepona sasa natamani kazi yoyote ile itakayonipa kula na matumizi mengine, nakusave hata kidogo ili niweze kurudi kwenye hali yangu kiuchumi nahitaji nitoke dar mwenye nafasi yoyote ya kazi mimi ni mpambanaji huwa sijali ndio maana siwezi kukaa bila kazi . Naugua nikikaa hivi
Kwa haraka haraka nimesoma yote ila mimi mwanao nakupa live kama salama kwenye bongo star search "wewe ni mrongoooo"
 
B
Pamoja mkuu.
Nadhani hii biashara ya duka la dawa au pharmacy inalipa kwani hakuna BEI ELEKEZI, kila mwenye duka anajiuzia na kujiwekea bei zake kufuatana na namna alivyo nunua au kufuatana na mipango yake na mahitaji yake. Fanya utafiti kidogo tu, utaelewa ninachosema; duka moja unakuta dawa aina moja bei tofauti, tena tofauti ni kubwa sana.

Nyie wa Dar-es-Salaam hebu nendeni kwenye Pharmacy za hapo Mjini Posta muone bei zao na linganisha na zile za Mnazi Mmoja, Kariakoo, Buguruni hadi Tabata utaelewa ninachosema. Na hizo tofauti ndiyo faida kwani wengi sources zao ni maduka yale yale ya jumla!

Ila nadhani tatizo la hii biashara ni UANZISHAJI WAKE! Inataka kamtaji kaliko SHIBA pamoja na hayo masharti mengine ya kiserikali na kisera pamoja na hao jamaa wa TRA (ingawa hili ni la kawaida tu). Vinginevyo go for it kufuatana na mwongozo wa wajuzi humu JF hasa kwenye mtaji.
 
9: Nitenge 25m nitafute fremu Sinza madukani, niagize mikoba kutoka China nifungue duka la mikoba tu. Jumla na reja reja ( niuze physical na mtandaoni ).

Fanya hii mkuu hela yako itarudi chap kwa haraka tafuta quality a za kaida baada ya mwaka utakuwa mbali sana
 
wadau, mazingira nayotaka kuinvest ni miji inayokuwa kwa kasi.
Nitafurahi kupata maoni na miongozo yenu kati ya hizi ideas.

1: Nifungue Hardware (nianze na cement, nondo, misumari, g.boards, g.powder, tiles na rangi)

2: Ni-specialize katika Plumbing and sanitary system (Bomba aina zote, sinks za choo, sinks za kunawa, bidets etc)

3: Nifungue Pharmacy ya kisasa.

4: Nitafute uwakala wa vinywaji Azam na ninunue bajaji used kwa ajili ya kusambaza mzigo.

5: Nifungue hardware iliyospecialize katika material za finishing tu (nianze na g.boards, g.powder, tiles, paints, pvc boards, white cement, sinks)

6: Nitenge 25 million tu nifungue Hardware yenye vifaa vidogo vidogo vya ujenzi kama nyundo, bisi bisi, vijiko vya uenzi, misumari, andika screws..etc).

7: Vituo tano vya mobile money na uwakala benki wa pesa

8: Barbershop nne za kisasa

9: Nitenge 25m nitafute fremu Sinza madukani, niagize mikoba kutoka China nifungue duka la mikoba tu. Jumla na reja reja ( niuze physical na mtandaoni ).

10: Ninunue ardhi kijijini nilime mpunga na niwe nauza mchele kwa jumla hadi mikoani.
 
Hello wadau, mazingira nayotaka kuinvest ni miji inayokuwa kwa kasi.

Uza sembe(unga wa mahindi),package za kg 1,2,5,10,25
 
inategemeana na namna ya biashara unavyotaka kuifanya.

mfano biashara ya MPUNGA/MCHELE. kuna watu wananunua mchele huko vijijini wanakuja kuuza mashineni (pale pale mpunga unapokobolewa)

wengine wananunua mpunga vijijini wanakuja wanakoboa na kuuza hapo hapi mashineni (hii ndio common).
Faida (net profit) kwa gunia inaanzia 10,000 - 15,000

Upande wa mazao mengine sasa ni wewe kujiongeza. buy at a low price and sell in a big price.

BIASHARA NYINGINE NZURI NI YA NG'OMBE
hii biashara bwana inalipa sana asikwambie mtu.
kuna watu wananunua ng'ombe waliokondoena kwa laki 2 mpaka 2.5 kisha wanakuja kuwanenepesha kwa miezi miwili mitatu wanakuja kuwauza laki 5 mpaka zaidi.

Ukienda shinyanga kipindi cha kiangazi ndio utazipata kwa hizo bei ndogo sana, ama miezi ile ya watoto wanaenda shule mifugo inashuka sana bei.
Masika siyo kiangazi, kabla hawajavuna, january to march, wakivuna wanakuwa na pesa, ng'ombe hawashikiki
 
Kila kitu unachokitaka kukifanya na kinahusisha uwekezaji wa pesa yako kubwa basi pure commitment ni kitu kikubwa zaidi

Naomba niongelee Issue ya kukodi mashamba na kulima Mpunga na mchanganuo wake:-

.Kukodi shamba ekari moja-200,000/=
.Kulima ekari moja - 50,000/=
.Kupanda mpunga ekari moja-50,000/=
.Kupalilia mpunga ekari moja-50,000/=
.Kuvuna mpunga ekari moja-50,000/=
.Kusafirisha mpunga kutoka shamba kwenda sehemu ya kuhifadhia inatokana na umbali wa shamba

.Total ni Tsh. 500,000/=kulima kwa ekari moja

.Changamoto ya mvua huwa inatokea saana ktk kilimo hiki na hii ni kubwa sana ila huwa kuna option ya kukodi mashine za kuvuta maji kutoka katika Source mbalimbali na kuleta ktk mashamba yako,kwahyo lazima ujiandae na hili

Ekari moja maximum huwa zinapatikana gunia 20 za mpunga na kipindi cha mavuno bei ya mpunga kwa gunia moja huwa ni Tsh 40,000/= na hivyo basi ekari moja ukiuza hizo gunia 20, utapata laki 800,000/= na ukitoa na gharama za uendeshaji wa kulima ekari moja maximum ni 650,000/= na utajikuta unapata laki moja kama faida

Au kama una uvumilivu ukaweza kuendelea kutunza mpunga wako hadi pale utakapo panda bei na kuna asilimia kubwa mpunga kila mwaka huwa unapanda hadi Tsh. 65,000/=

Inshort, kulima ni kugumu sana kama hautaweza kuhusika ww mwenyewe na utakuwa umepoteza Pesa yako tu, nina Nakushauri biashara nyingine ambayo itakuwa ni rahisi ww mwenyewe kuhusika
 
Ahsante mkuu.
 
B

Nadhani hii biashara ya duka la dawa au pharmacy inalipa kwani hakuna BEI ELEKEZI, kila mwenye duka anajiuzia na kujiwekea bei zake kufuatana na namna alivyo nunua au kufuatana na mipango yake na mahitaji yake. Fanya utafiti kidogo tu, utaelewa ninachosema; duka moja unakuta dawa aina moja bei tofauti, tena tofauti ni kubwa sana.

Nyie wa Dar-es-Salaam hebu nendeni kwenye Pharmacy za hapo Mjini Posta muone bei zao na linganisha na zile za Mnazi Mmoja, Kariakoo, Buguruni hadi Tabata utaelewa ninachosema. Na hizo tofauti ndiyo faida kwani wengi sources zao ni maduka yale yale ya jumla!

Ila nadhani tatizo la hii biashara ni UANZISHAJI WAKE! Inataka kamtaji kaliko SHIBA pamoja na hayo masharti mengine ya kiserikali na kisera pamoja na hao jamaa wa TRA (ingawa hili ni la kawaida tu). Vinginevyo go for it kufuatana na mwongozo wa wajuzi humu JF hasa kwenye mtaji.
Pamoja mkuu
 
Pima Uzito wako kisha note pembeni

Pima Presha yako kisha note pembeni

Then fanya hicho unachokitaka then ukishaanza tu kukifanya Uwe una Pima tena Presha na Uzito.

Uone kama itatokea hata siku 1 ukawa na majibu kama yale ya siku ya kwanza unapima uzito au presha.

Yani unalima wakati uhakika wa Mvua mpaka Malaika muachilia mvua ajiskie kutunyeshea ndio mvua inyeshe..

Shauri lako boss... unakoelekea sasa napaona...

Kama kote hupawezi ingia chimbo kanunue Dhahabu za hiyo hela ako then kafiche ndani Fanya mishe zingine.. Ikifika 2030 kauze mzigo wako...

or else deal with dollar dollar cheza na rate tu ikishuka tu nunua mzigo wowote then tegea ikipanda tu una uza... Bingo!

Sema nini,kama hadi leo hujapata ulichokua unatafuta Mkuuu acha hela ikae huko benki sio lazima uifanyie kitu wakati mwingine mawazo ya biashara yanakuja wakati ambao si sahihi.

nimeanza kuhisi kuwa huu si wakati wako sahihi wa kuanza biashara so fanya kama unakula Pause hivi then endelea na mishe zako zingine zilizokupa hyo 35m.
Thanks controller. Lazima nitulie hakuna jinsi
 
Back
Top Bottom