Je, Microsoft gani nzuri na yenye umuhimu?

Josephvic

Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
6
Reaction score
0
Habari wanaJamiiForums,

Mimi naomba kuuliza ni short coz gani nzuri za computer ambazo naweza kusoma kwa muda mfupi na zinazoweza leta faida kwangu

Ushauri Tafadhari.
 
Nzuri ni ile ambayo unadhani unahitaji kwa sasa, kwa maisha ya sasa hivi kila mtu anajua kuitumia computer hivyo usitegemee kujua program fulani itakupatia ajira
 
Microsoft nzuri?
Au una maana software ipi nzuri?
 
Software sio hasa hizi kama Microsoft office hazima maana tena kwa sababu siku hizi watu wengi wana uelewa kidogo wa haya mambo landa kama unataka kufungua stationery.

Kama unapenda computer kasome computer repair and maintenance.

Jikite zaidi kwenye hardware ndio inaweza kukusaidia.
 
Asante ndugu
 
Back
Top Bottom